Hapo mkuu Kibo10 anamuonesha maujuzi miss neddy. Kuwa hakuna mtu wa kukatia mbele yake!
Unasema??
Cc miss neddy
Mambo vipi shem wangu.Nimekumiss!!!!!
Poa shem naona unamtania dada ako
Mie simtanii nasema ukweli.Hapa nilipo nahesabu siku kidogo mwisho wa mwezi ufike niwe gold member.......lol
Hahahaha bado kidogo sana shem, huku kwetu leo tarehe 10/11/2014. Kwenu jee??
Kwenu ni tarehe 9/11/2014 so I hope nyie mmekaribia kufika mwisho wa mwezi
Eee shem bado siku 20 tu
Hapo mkuu Kibo10 anamuonesha maujuzi miss neddy. Kuwa hakuna mtu wa kukatia mbele yake!
Unasema??
Cc miss neddy
kucheza kichina umejifunzia wapi
Mdogo wako ameanza lini kukutania ??