Kavu au za kungu??!!
Sioni kahawa
Kavu kaka angu usijefikir za kungu bure usije mpiga bunduki mshana jr
za kungu zinakuwaje?
Anhaaa maana mahari nshakula sasa hii habari ilikuwa yantibua nyongo!!!
Wajomba hawajambo??!!!
Kahawa paka kaipindua...
Hahahaha lol.....hawajambo na huko je...
Eid mubarack
ngoja nimchukue farkhina chemba akaniambie
Baaas ushakua sasa mdogo wangu, njia sahihi na fasaha umechagua!!!!
Asubuhi huwa una akili wewe baas tu!!!!
hahaha afu wewe mwambie karucee nasubiri mwaliko wa eid au tutakuwa kwa ennie?
Ha ha haaaaa ma'neiyner huna maana!!!