Yuwapi David Kafulila wa Adani?

Yuwapi David Kafulila wa Adani?

Muha huyu hajui kufanya vetting ya wawekezaji, ndiyo maana alikurupuka kwa Adan.
 
Kwa mfano ungekuwa ni wewe ungetumia njia gani kufanya hiyo Vetting
Baada ya wao kuonesha interest ningewakabidhin FBI, CIA na interpol wafanye uchunguzi kwanza ndipo niruke hewani na jina la Adan
 
Sio kawaida yake Mtendaji Mkuu huyu wa PPP kuwa kimya hasa pale anapoona umma unahitaji majibu juu ya hoja yoyote ya PPP.

Kwa historia Kafulila ni kijana anayechukia sana rushwa na Ufisadi tangu utoto wake.

Lakini tangu billionaire la Kihindi likutwe na hatia ya kutoa rushwa ili kupambania tenda huko Marekani jamaa amekuwa kimya sana,

Mtakumbuka Billionaire hili la Kihindi tayari lilishaonesha nia ya kuwekeza zaidi nchi Tanzania hasa kwenye Umeme wa jua pamoja na kujenga msongo wa umeme.

Wenzetu Kenya tayari wamemfurasha Bwana Adani,

Sisi Tanzania tuko Upande gani?

Kafulila usijifiche njoo utuambie Adani bado anazo sifa za kuendelea kuwekeza Tanzania?

Je, kwenye hii vita ya Adani na Marekani na sisi tumo au hatumo Kafulila njoo utuambie.

Pia soma David Kafulila atolea ufafanuzi wa Adani kuwekeza katika Miundombinu ya Umeme kwa Ubia
Mara ya mwisho ameonekana Clouds Tv akipiga fix
 
Binafsi hata nisipomuona tena kwenye Udalali well and good nachoomba ni vyombo husika vifanye utafiti kama itaonekana kuna Rupia yoyote ilipenyezwa kwenda kwake basi awekwe mbali na mali za UMMA

Sasa Mnataka ufafanuzi gani wabongo?
Mambo ya Adani na Marekani yanawahusu?
Halafu Adani kwani keshapewa huo mradi?
Adani sifa anayopoteza ni Uaminifu kwenye kupata kazi ila sio kwenye kufanya kazi.
Sioni tatizo la huyu muhindi
Utakua ndio Two 2, mwenyewe wewe.
 
Daaah kwa gharama ya nani mkuu?
Serikali hii hii. Kama kuna hela za magoli ya Simba na Yanga, pamoja na milioni 700 za taifa stars, milioni 150 za kumpatia Askofu Shoo, milioni 400 za kununua gari la zawadi ya shekhe, n.k zitakosekana hela za kufanyia uchunguzi wa jambo jema kama hili?
 
Binafsi hata nisipomuona tena kwenye Udalali well and good nachoomba ni vyombo husika vifanye utafiti kama itaonekana kuna Rupia yoyote ilipenyezwa kwenda kwake basi awekwe mbali na mali za UMMA

Nakubaliana na wewe kwa 100%
 
Kuzuia rushwa au upendeleo kwenye tendering hata hayo mataifa yenye civil services imara mpaka leo hawajaweza dhibiti.

Huyo Adani ukipekuwa hadi kupata makash-makash utakuta ni wivu tu. Tena kwa nchi kama US yenye ushindani si ajabu tender zake ni value for money (mengine siasa tu).

Shida yetu sisi huyo-huyo Adani kwa sababu hatuna committed visions (ilimaradi, liende) na kwa sababu hatuna uwezo wa kuendeleza jambo fulani.

Kutokana na njaa zetu na kutokuwa na visions hawa watu wanakuja na offers za hovyo, halafu sisi wenyewe hatuna akili ya kuona madhara yake ya kupoteza kipato na impact zake kwenye national strategy.

Shida inaanza kuweka watu wasio na sifa kwenye technical post, Kafulila ana qualification gani ya kuongelea mambo yenye investment yenye tija kwa taifa zaidi ya ujinga na uchawa.

Kabisa wewe na akili zako timamu na kama unataka value for money unaweza sikiliza upuuzi wa mtu ambae hana uelewa wa maswala ya finance kama negotiator wako wa wakezaji, kisa either yeye mwenyewe ana mi ID luluki ya kujibu ujinga wake humu au kuna mataahira anayoyapa hela ya chai kuja kuandika ujinga humu.

You must be very stupid, kumuachia mtu kama Kafulila kukuamualia thamani ya miradi kwa nchi kwa upana wake.

Very stupid kama Kafulila ndio mshauri wako, very very stupid

Like serious very stupid, hivi unajua hiyo tsh 3.3 trillion utakavyo ilipa, you must very stupid kama Kafulila ndio mshauri wako. Very very stupid.
 
Serikali hii hii. Kama kuna hela za magoli ya Simba na Yanga, pamoja na milioni 700 za taifa stars, milioni 150 za kumpatia Askofu Shoo, milioni 400 za kununua gari la zawadi ya shekhe, n.k zitakosekana hela za kufanyia uchunguzi wa jambo jema kama hili?
Tatizo lako hujui kuwa michezo ni Uchumi
 
Serikali hii hii. Kama kuna hela za magoli ya Simba na Yanga, pamoja na milioni 700 za taifa stars, milioni 150 za kumpatia Askofu Shoo, milioni 400 za kununua gari la zawadi ya shekhe, n.k zitakosekana hela za kufanyia uchunguzi wa jambo jema kama hili?
Askofu Shoo kumbe na yeye kapata kijiko cha Asali ?
 
Back
Top Bottom