Mashekhe na maaskofu pia ni uchumi?Tatizo lako hujui kuwa michezo ni Uchumi
Mashekhe na maaskofu pia ni uchumi?Tatizo lako hujui kuwa michezo ni Uchumi
Umeandika ujinga mwingiKuzuia rushwa au upendeleo kwenye tendering hata hayo mataifa yenye civil services imara mpaka leo hawajaweza dhibiti.
Huyo Adani ukipekuwa hadi kupata makash-makash utakuta ni wivu tu. Tena kwa nchi kama US yenye ushindani si ajabu tender zake ni value for money (mengine siasa tu).
Shida yetu sisi huyo-huyo Adani kwa sababu hatuna committed visions (ilimaradi, liende) na kwa sababu hatuna uwezo wa kuendeleza jambo fulani.
Kutokana na njaa zetu na kutokuwa na visions hawa watu wanakuja na offers za hovyo, halafu sisi wenyewe hatuna akili ya kuona madhara yake ya kupoteza kipato na impact zake kwenye national strategy.
Shida inaanza kuweka watu wasio na sifa kwenye technical post, Kafulila ana qualification gani ya kuongelea mambo yenye investment yenye tija kwa taifa zaidi ya ujinga na uchawa.
Kabisa wewe na akili zako timamu na kama unataka value for money unaweza sikiliza upuuzi wa mtu ambae hana uelewa wa maswala ya finance kama negotiator wako wa wakezaji, kisa either yeye mwenyewe ana mi ID luluki ya kujibu ujinga wake humu au kuna mataahira anayoyapa hela ya chai kuja kuandika ujinga humu.
You must be very stupid, kumuachia mtu kama Kafulila kukuamualia thamani ya miradi kwa nchi kwa upana wake.
Very stupid kama Kafulila ndio mshauri wako, very very stupid
Like serious very stupid
Askofu Shoo alipewa bakuli la asali (badala ya kijiko)Askofu Shoo kumbe na yeye kapata kijiko cha Asali ?![]()
Kafulila hana uwezo wa kudadavua investment appraisal wenye tija kwa taifa.Umeandika ujinga mwingi
Nadhani Kuna vitu vingi huvijui ila PPP ni an entinty institution, Kuna bodi pale Ina vichwa balaaKafulila hana uwezo wa kudadavua investment appraisal wenye tija kwa taifa.
Hayo mambo sio rahisi kama mnavyojadili kwa faida ya taifa,
Yaani hana huo uwezo hata kidogo,
Umahiri wa kuwa chawa, usiwafanye kuwapa watu sensitive posts,
Huo uwezo wa kuishauri serikali investment zenye tija hata za PPP technicality hizo Kafulila hana, hana na hana.
Sasa ujinga ni kujiaminisha uwa anaongea vitu vya msingi wakati huo uwezo hana.
Nchi aziendeshwi kijinga, lazima mjue mipaka ya chawa; Kafulila hana uwezo wa kufanya investment appraisals yenye tija kwa taifa. Huo uwezo hana.
Atakuwa haamini macho yake😆😆Sio kawaida yake Mtendaji Mkuu huyu wa PPP kuwa kimya hasa pale anapoona umma unahitaji majibu juu ya hoja yoyote ya PPP.
Kwa historia Kafulila ni kijana anayechukia sana rushwa na Ufisadi tangu utoto wake.
Lakini tangu billionaire la Kihindi likutwe na hatia ya kutoa rushwa ili kupambania tenda huko Marekani jamaa amekuwa kimya sana,
Mtakumbuka Billionaire hili la Kihindi tayari lilishaonesha nia ya kuwekeza zaidi nchi Tanzania hasa kwenye Umeme wa jua pamoja na kujenga msongo wa umeme.
Wenzetu Kenya tayari wamemfurasha Bwana Adani,
Sisi Tanzania tuko Upande gani?
Kafulila usijifiche njoo utuambie Adani bado anazo sifa za kuendelea kuwekeza Tanzania?
Je, kwenye hii vita ya Adani na Marekani na sisi tumo au hatumo Kafulila njoo utuambie.
Pia soma David Kafulila atolea ufafanuzi wa Adani kuwekeza katika Miundombinu ya Umeme kwa Ubia
Wewe na Kafulila akili żenu sawa, hizo tsh 3.3 trillion unadhani utazilipa kutoka hewani.Nadhani Kuna vitu vingi huvijui ila PPP ni an entinty institution, Kuna bodi pale Ina vichwa balaa
Kentraco na Airport hakuwa na mkataba wowote Ruto kapiga Siasa tuAdani ana Allegations nyingi sana, Ruto mwenyewe juzi amemfurusha kwenye Investment za Kentraco na Airport kule alikuwa amesha secure tender, Totalenergies nao wame suspend Deal na Adani until further notice
😆😆 Jamaa wanamsingizia kila kituKentraco na Airport hakuwa na mkataba wowote Ruto kapiga Siasa tu
Ponjoro ana mkataba kwenye Bima ya Afya SHA huko hadi Gachagua mwenyewe anaogopa kusema chochote 😂😂
Unaifahamu vizuri Elimu ya Kafulila?Wewe na Kafulila akili żenu sawa, hizo tsh 3.3 trillion unadhani utazilipa kutoka hewani.
Ni kwa bahati financial statement ya TANESCO kwenye simu yangu aitaki kufunguka kwa sasa nikuonyeshe upuuzi ulipo financially. Iła hiyo hela inaenda wapa shida sana.
Tsh 3.3 ni uwekezaji tu, bado interest za mwekezaji kulipa deni na faida; inaenda kuwapa shirika ongezeko la bei kwa wateja ambalo litakuwa shida kwao. Na Ambani hana utani waulize Bangladesh ujalipa hela yake anakata umeme. Kama unazalisha wewe asambazi.
Hiyo ni story fupi tu, ni hivi; let’s get to real world kuna namna nyingi za kuwazawadia machawa sio kwa sababu mtu anaandika ujinga wa kupamba kuhusu maswala ya uchumi na biashara ina maana ana utaalamu wa technicalities za hayo mambo.
Kafulila nitty gritties za biashara, uwekezaji na uchumi hana na ata kidogo zaidi ya ujinga wa kichawa.
Sasa madhara ya kusikiliza upuuzi wake nchi italipa gharama kubwa sana huko mbele kwa upuuzi anao promote yeye, either kwa akili zake binafsi au kwa kutumiwa na mafisadi yanayopokea rushwa nyuma ya pazia.
Lakini Kafulila hana technical knowledge ya kuishauri nchi kuhusu uwekezaji, nchi inaendekeza ujinga sana na wenye madhara makubwa mbeleni. Serikali ni (going concern) ukitoka wewe baada ya maamuzi ya kijinga unayofanya leo wenzako wataishi na madhara ujinga wako unayowatengenezea leo kwa tamaa zako huku wamebanwa kisheria kuchomoka.
Get real Kafulila hana knowledge ya maswala ya kudadavua investment, ni chawa mzuri tu wa Samia.
Sencirely sikuwahi kuifahamu PPP kabala ya huyu bwanaUnaifahamu vizuri Elimu ya Kafulila?
Nataka uangalie mradi mmoja tu alioanza nao wa Kariakoo DDC,
Unasemaje Kafulila hana technical knowledge kwenye economics
Nadhani nirudie wewe unashida binafsi na Kafulila lakini ever since Kafulila ameingia PPP ndio hasa tumekuwa na vibration kwenye Ubia.
Rethink with Free mind Kafulila ni asset pale PPPP
Royal !!!????Umeandika ujinga mwingi
Nadhani hujui kuwa PPP inabodi ya wazee wabobevu kwenye mambo ya Uchumi na uwekezaji,
Lakini Dunia ya Leo kwenye maeneo muhimu kama PPP lazima kupata mtu Royal sana Kwa nchi yake.
Kafulila anaweza asiwe mbobevu sana ila anasifa moja kubwa ni Mzalendo sana Kwa nchi yake.
Otherwise naona chuki kwako binafsi kuhusu Kafulila,
Sina ukaribu na Kafulila ila ninamwini ni mtu mwadilifu sana.
Hakuna kampuni ya Malaika naomba ufahamu hili kwanza,Royal !!!????
Angekuwa Royal nadhani hawa Adani wangekuja mlangoni tu angewafukuza kwa kasi ya ajabu..., Yaani katika issue ya umeme hata kabla ya shutuma za mlungula kila mwenye macho aliweza kuona mambo hayapo sawa..., Huitaji kuwa Kuku kugundua kwamba yai ni Viza..., Na siamini yeye ni kipofu au mbumbumbu kiasi hiki all I can think ni kwamba ni msaliti (tena ukizingatia nchi iliyoshawahi kupigwa na kina Dowans kuona mwingine anataka kuturudisha huko ni jambo la kusikitisha)
![]()
How questionable Adani deal makes electricity costlier (Bangladesh Case Study)
Report by; Titu Datta Gupta & Sharier Khan The costly power from Adani’s 1,600MW coal power plant in India is one of the many reasons why Bangladeshis are paying significantly higher rates to use electricity in recent years With Bangladesh buying some of its power from India's electricity...www.jamiiforums.com
![]()
Kenyans wait with baited breath as Adani likely to raise power bills
Consumers and manufacturers will have to wait longer to learn the fate of their electricity bills following the controversial Sh95 billion power transmission deal signed with Adani Energy Solutions Ltd, an Indian company owned by billionaire Gautam Adani. The deal, announced last week, allows...www.jamiiforums.com
![]()
Kama Umeme hautoshi tunajadili PPP ya Msambazaji ili Asambaze nini ?
Tuliambiwa umeme hautoshi ndio maana kukawa na Mgao, tunaambiwa hata Bwawa likiwa full Capacity (mara mbili ya uzalishaji wa sasa) bado bei hazitashuka sababu kuna mahitaji makubwa ya viwanda n.k. Sasa najiuliza hawa Adani na wengineo ambao eti wameleta ombi la kufanya usambazaji, wanasambaza...www.jamiiforums.com
In short hizo articles mbili za mwanzo ni well known news unahitaji kuwe na bundle ya jero tu na kuelewa search engine ni nini kuweza kufanya due dilligence what has happened to others kabla haujaingiza taifa lako kwa mkenge (ningependa kujua what amount is enough kuweza kufanya uhaini wa namna hio)
Acha kutetea upuuzi hakuna kitu muhimu kama Nishati katika nchi..., ukikosea hapo ni kwamba gharama za umeme zinakuwa za juu, umeme ukiwa juu kila uzalishaji unakuwa juu, uzalishaji ukiwa juu na bei zinakuwa juu...,Hakuna kampuni ya Malaika naomba ufahamu hili kwanza,
Hivi kweli unaongelea unachokiamini au unaelewa unachokiongea ? Kwahio kina Dowans walikuwa hawana mikataba ?Pili, Mkataba ndio mwongozo wa kila kitu hata kama Private ni jambazi sugu mkataba utaondoa hayo yote.
umegawiwa kiahasi ganiNadhani hoja kuu ibaki jamaa anamtaji au hana?
Mtetezi wake Lucas MwashambwaSasa Mnataka ufafanuzi gani wabongo?
Mambo ya Adani na Marekani yanawahusu?
Halafu Adani kwani keshapewa huo mradi?
Adani sifa anayopoteza ni Uaminifu kwenye kupata kazi ila sio kwenye kufanya kazi.
Sioni tatizo la huyu muhindi
Mhindi anawasili na briefcase yake tu mtaji anaukuta hapo kwenu.Kwani muhindi hahitaji mtaji?
PPP Injini yake ilikuwa Lau Mafuru 😃😃😃 acheni utoto kwenye mambo seriousUnaifahamu vizuri Elimu ya Kafulila?
Nataka uangalie mradi mmoja tu alioanza nao wa Kariakoo DDC,
Unasemaje Kafulila hana technical knowledge kwenye economics
Nadhani nirudie wewe unashida binafsi na Kafulila lakini ever since Kafulila ameingia PPP ndio hasa tumekuwa na vibration kwenye Ubia.
Rethink with Free mind Kafulila ni asset pale PPPP