Yusufu Manji kasusa kabisa?!

Inaonekana kamuweza sasa maana kamdhoofisha kila kona kwa kesi fake, magufuli anapenda kushinda na ukimshinda kwa hoja hutafuta hata chochote kiwacho kukuadhibu mpaka umpishe, hajali ni haki au kavunja sheria, ilimradi aonekane kakushinda.
kamdhofiisha? wewe humjui manji wewe. manji mali yake iliyopo tanzania ni 1% tu 99% ipo nje ya tanzania. manji anaishi tanzania for funny tu ni raia wa marekani yule siyo mwenzio hata mzazi wake amezikwa huko huko marekani
 
Hahaha umemfichulia siri watamfukuza soon
 
Pengine wanayofanyiwa mateka wa siasa na yeye kafanyiwa. Akifungua tu mdomo wake picha zinamwagwa mitandaoni.
 
Mkuu hii ni biashara Wateja wakubwa wa mbaazi ni India wauzaji wakubwa ni ni Tanzania na Msumbiji so India baada ya saga la Manji wachukua 100% mbaazi kutoka Msumbiji
Hapo nimeelewa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…