Yusufu Makamba amepotelea wapi?

Yusufu Makamba amepotelea wapi?

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
13,625
Reaction score
29,891
Huyu mzee alikuwa bwatu bwatu sana. Tukawa tunamwangalia tunasema hiiii.... Yu wapi sasa? Mbona yu kimya sana?

Hatumwoni akiwananga wengine na kuwachamba. Wala kumsifia jini maimuna.... Je ni nini kimemkuta ?
 
Kwa sasa ni mzee, anakula pensheni zake taratibu kama hatakuwa na changamoto ya maradhi ya uzeeni. Wale ndio wazee wa chama ujue chama kina wazee vingunge!
 
Aliambiwa anawashwa washwa akapotea🤣😅😅
 
Huyu mzee alikuwa bwatu bwatu sana. Tukawa tunamwangalia tunasema hiiii.... Yu wapi sasa? Mbona yu kimya sana?

Hatumwoni akiwanga wengine na kuwachamba. Wala kumsifia jini maimuna.... Je ni nini kimemkuta ?
Wanadai sasa hivi anavaa pampers.
 
Huyu mzee alikuwa bwatu bwatu sana. Tukawa tunamwangalia tunasema hiiii.... Yu wapi sasa? Mbona yu kimya sana?

Hatumwoni akiwanga wengine na kuwachamba. Wala kumsifia jini maimuna.... Je ni nini kimemkuta ?
Yupo ,juzi nimeona ana birthday ya kutimiza miaka 25 (52).
 
Master Plate.
Bufee Capitano.
416351085_b2f9159d44.jpg
 
Back
Top Bottom