Yusuf Manji: Nitamshitaki Makonda kwa kunichafulia jina

Udirector wa hii movie inaelekea allipewa Mwigulu bila shaka machale yakamcheza kwa kukumbuka lile sakata lake la movie nyingine kuhusu ugaidi wa Lwakatare jinsi ilivyopigwa vita na Watanzania walio wengi na mahakama pia kuipiga chini zaidi ya mara moja (Ushahidi utaokubalika hadi mbinguni). Ndiyo sababu labda mwenye Wizara husika ya kushughulikia mambo ya ndani amekuwa kimya mnooo na kaibuka Director mwingine ili ajitengenezee umaarufu na labda kupata Oscar nomination. KULIKONI kimya cha Mwigulu kwenye sakata hili!?

CC: MANI, Chakaza, Elli, Salary Slip, Mag3, nguruvi

Hili picha sasa

Kama Rambo vile
 
Manji: Kama unataka msaada omba msaasa sio unaagiza msaada, Unaniita na watu 65 nikae kwenye foleni, watu 65 watamaliza saa ngapi? Saa tano usiku nitoke? Sina kazi nyingine za kifanya?

Labda utakuwa wa kwanza au kila mtuhumiwa atakuwa na kachero wake wa kumfanyia mahojiano.
 
Makonda ameingia mkenge kulianzisha na huyu mhindi. Huyu manji anatoa wapi jeuri ya namna hii? Mheshimiwa unamwita mpumbavu. Hili movie ni bomba sana, acha tulifaidi
 
Mapapa wengine kutajwa tumeshaambia taratibu hazijafuatwa KWANZA IFAHAMIKE MAKONDA ANATAJA 'watuhumiwa' kiswahili kieleweke vizuru.
Kutaja watuhumiwa bila ushahidi bara bara ni hatari mkuu.Fikiri pia kuhusu hatma ya baadaye ya Makonda. Tahadhari kwenye hili ni muhimu sana
 
Manjiiii tulia Sindano ikuingie kupanic huku utajizushia mengine.
Makonda in Mkuu Wa Mkoa na wala c Mwenyekiti Wa makapuni ya uliemsema kumlipa sh 1
 
Watu wanabeza Manji kufanya press conference na kuyasema aliyoyasema.
Hii issue inamuharibia sana Manji mambo mengi kitaifa na Kimataifa.
Manji ni diwani wa Mbagala.
Manji ni Mwenyekiti wa Yanga
Manji ni Mwenyekiti mstaafu wa Quality Group japo bado ni mwenyekiti hai.
Manji kupitia kampuni yake ni wakala wa Honda South Africa
Manji ni wakala wa Kubota Tractors Japan
Manji ni wakala wa Bridgestone Tires, Firestone tires na kadhalika za Japan
Manji ni wakala wa Amaron Battery na Yuasa battery za Japana na India
Manji ni wakala wa Sonalika Tractors za India.
Manji ni wakala wa magari ya Isuzu hapa Tanzania.
Makampuni yote hayo makubwa yanafanya kazi na Manji Yusuph kwa sababu wanamwamini ni msafi na pesa zake ni halali.

Kumubaribia Manji image yake kwa kumtuhumu kwenye vyombo vya habari kwamba ni muuza unga means unamuhaaribia na kuaffect biashara yake kimataifa.

Kwa hali kama hii, Fidia yake itakuwa kubwa sana kwa sababu makonda anadhani kila mtu ni mpole kama TID au Tunda.

Huwezi kuwaharibia watu wenye kutegemea international business kwa tuhuma za kuambiwa na kuanza kubwabwaja kwenye media.

Hii staili ya utawala hata haieleweki iwekwe kwenye category gani
 
Huwezi kunitangaza kupitia radio kwamba niende kwenye Kituo cha Polisi saa tano. Makonda ni mdogo kwangu kiumri- Yusuf Manji



Paul Makonda ni RC sio Makonda uliyemzoea!. Hivyo una wajibu wa Kutii amri ya RC wa Dar es salaam Ndugu Paul Makonda na sio kutaka kubembelezwa!.
Hao wote wangeweza kuitwa polisi kujieleza bila kufaywa kuwa a spectacle. Wote, hata wale wasanii hawakutendewa kiungwana.

Time will tell!
 
Mm naona kuna kitu kikubwa kinakuja mbelen. Ipo kisiasa zaid wenye macho tushaona mbali. Team edo opposition angalien huu mtego kwenu. Ila mungu yupo siku zote yy ndo atatenda haki.
 
Back
Top Bottom