Enzymes
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 4,332
- 3,018
Pole sn Mwenyekiti ya Club yangu.. YANGA SPORTS CLUB.. na shareholder wa QUALITY GROUP.
Hii awamu ya Viwanda ina mambo mengi sn ya kufanya...ila imeachana nayo sasa imehamia ktk siasa za Visasi na kukushughulikia...
Naskia uliwahi kumkosea jamaa huko Nyuma. Kosa la kawaida. Pia wakati wa mchakato wa kupata mgombea CCM DODOMA huenda ww ulikuwa team B.. baada ya team yako kufeli huenda jamaa ameapa kukushughulikia na kukufilisi..pole kwa wakati huu mgumu kwako. Sisi sote tu wanadamu, na amini mateso yako yana mwisho!!
Umeshitakiwa kwa makosa ya Wafanyakazi wako (kuwa uli wa ajiri kinyume na sheria za nchi make wao siyo raia wa Tz na hawakuwa na vibali) , japo ww siyo mkurugenzi wa QUALITY GROUP uka ruka hili. Likaja kosa kuwa ww siyo Raia wa Tz...ukaruka na hili (NEC wana husika sana)...Mungu ana kupenda sn Mwenyekiti wa Young Africans Club ndio maana bado huna hatia.
Wala Unga, kila kitaa hapa Dar ni wengi sn, haina haja hata ya kuwapima...ukienda Stendi ya Ubungo unaweza Zoa wote.. wao wako uraiani wanapeta. TID, CHID BENZ wako uraiani wana peta... ila ww na Wema Sepetu tu ndio vinara wakubwa na wala Unga Tz..pole sn kiongozi..
Hii Movie kwa Gwajima na Mbowe ilibuma..
Nikiangalia Coco Beach umenyang'anywa.. kwasasa umesomewa makosa ya Sare za JWTZ, Uhujumu uchumi, NK..Pole sn mwenyekiti wangu...
Ktk mazingira hayo kesi hizi zaweza kuwa na siasa au visasi ndani yake.
Nakuomba usitumie mawakili wasiyo na Majina Makubwa nchini, tumia Public figure Lawyers. Wanao zijua vzr Sheria za Tanzania na Mazingira ya kesi nchini. Siyo Wahindi au Wazungu bali T. Lissu na Peter Kibatala...hawa ni wa CHADEMA japo ww ni Diwani wa CCM. Uwakili ni biashara watakusaidia na utapona.
Mawakili wa serikali wamekimbia sn kesi za T. Lissu.. mf mzr ni hii ya juzi ya Arusha ya yule Mwanafunzi wa kesi ya uchochezi dhidi ya Kesi ya Godbless Lema.
Bwana Yusuph Manji, hela ni makaratasi. Hizi hela mpe T. Lissu akuokoe na hii kadhia ya ww kulala Hospitali bila kupenda.
Pili nikuombe Mwenyekiti wa Wafanyabiashara nchini bwana Reginald Mengi ambae pia ni mkurugenzi wa IPP media mmusaidieni mfanyabiashara mwenzenu.. Kamwe musimuache!! Muombeeni msamaha kwa bwana mkubwa kama alikosea mahala....miaka mingi imepita BABU SEYA yupo jela.
Toeni matamko makali kukemea tabia hii..msimbague kwa kuwa yy ni mtanzania mwenye asili ya Asia.
QUALITY GROUP imetoa ajira nyingi sn kwa watanzania; hawa wafanyakazi hulipa kodi (PAYE) na kampani hulipa Corporate Tax 30%. Hii kampuni ina faida kwa Tz na watanzania wote kuliko kisasi cha mtu mmoja kwa kampuni flani..
Simba japo mmetuvizia hapa ili mubebe ndoo msimu ujao kutokana na usajili mbovu.....ila msisahau kumuombea Mwenyekiti wetu...bwana Yusuph Manji..
KUSAMEHE NI JAMBO LA MHIMU SN KTK MAISHA YA MWANADAMU.
MUNGU ATUBARIKI WOTE.