Yusuf Manji bila T. Lissu huchomoi

Yusuf Manji bila T. Lissu huchomoi

Huyo jamaa akumbuke kuwa hatakaa madarakani milele, pia akumbuke yeye pia ni binadam na anaweza kufa mda wowote akawaacheni nyie mnapeta huku dunian, hakuna mtu mwenye garantii ya uhai, so vizuri kumwekea mwezio kisasi kisa maisha ya hapa dunian.... Mimi simba ila kwa hili nipo na pamoja na Manji, Mungu ndo mlipaji

Kwa kuwa JPM hataishi milele awaache tu wahalifu wote huru.Si amepelekwa mahakamani.Msaidieni kwa kumtafutia mawakili imara au kumchangia fedha za mawakili ila msisahau kuwa kipindi hiki rushwa haipenyi.
Simba nao wjikusanye kuchangia viongozi wao.Bahati mbaya mwanzisha uzi kawasahau wengine nao wana michezo tena wana jangwani wenzie ,washauri nao.
 
Tundu Lissu na hao mawakili unaowataja kabla ya kuchukua kesi wanaangalia kama watashinda au watapoteza wakiona watapoteza hata siku moja hawachukui hiyo kesi
 
Na humuua pia anayehisi mtu anatendewa kisasi kumbe la! Mathalani Malinzi, Rugemalira, Singasinga et all, wanafanyiwa visasi gani labda?!
Hela zile sio zetu sasa si wanaonewa tu refer mkutano wa wazee vsleep wa daslam
 
Tundu Lissu na hao mawakili unaowataja kabla ya kuchukua kesi wanaangalia kama watashinda au watapoteza wakiona watapoteza hata siku moja hawachukui hiyo kesi
Hv hao wanaoshindwa kesi wao hua hawapimi kwanza? nauliza tu
 
Usomaji wa namba za ccm ni kwa watz wote hata nape mzee wa goli la mkono analijua hili
 
Huu uchonganishi wa hali ya juu, umeuweka ki simba na yanga, umeuweka kichama, umeuweka kibinafsi, umeuweka kimaslahi, tukisoma tu thread yaonekana Manji anavutiwa Chadema taratibu, haya, ila aache ufisadi, aache kuajiri watu wasikokuwa na vibali, aache biashara na matumizi ya unga, aache kujiona kama sio mtanzania halisi na atazikwa hapa hapa, aache dharau, dola ni kubwa kuliko yeye na mahela yake, yale mahela nje ya nchi ayalete hapa kama kweli mzalendo, tatizo la makanjibai usoni wanadai wabongo, ila wakikupa mgongo tu ni raia wa UK! Sasa hawaeleweki!
Na hata wewe umteteae ukumbuke fadhila za makanjibai, hawana utu wale, shauri yako...
 
Kweli ila pia mhindi atoke hadharan kuusema ukweli wake jamii itamsaidia... kama yule wa kunywa maji mwanangu
 
Mwishowe T.L atakuwa bilionea,hela za E.L kapiga,na hizi za Khanjibai unataka nazo apige!
 
Pole sn Mwenyekiti ya Club yangu.. YANGA SPORTS CLUB.. na shareholder wa QUALITY GROUP.

Hii awamu ya Viwanda ina mambo mengi sn ya kufanya...ila imeachana nayo sasa imehamia ktk siasa za Visasi na kukushughulikia...

Naskia uliwahi kumkosea jamaa huko Nyuma. Kosa la kawaida. Pia wakati wa mchakato wa kupata mgombea CCM DODOMA huenda ww ulikuwa team B.. baada ya team yako kufeli huenda jamaa ameapa kukushughulikia na kukufilisi..pole kwa wakati huu mgumu kwako. Sisi sote tu wanadamu, na amini mateso yako yana mwisho!!

Umeshitakiwa kwa makosa ya Wafanyakazi wako (kuwa uli wa ajiri kinyume na sheria za nchi make wao siyo raia wa Tz na hawakuwa na vibali) , japo ww siyo mkurugenzi wa QUALITY GROUP uka ruka hili. Likaja kosa kuwa ww siyo Raia wa Tz...ukaruka na hili (NEC wana husika sana)...Mungu ana kupenda sn Mwenyekiti wa Young Africans Club ndio maana bado huna hatia.

Wala Unga, kila kitaa hapa Dar ni wengi sn, haina haja hata ya kuwapima...ukienda Stendi ya Ubungo unaweza Zoa wote.. wao wako uraiani wanapeta. TID, CHID BENZ wako uraiani wana peta... ila ww na Wema Sepetu tu ndio vinara wakubwa na wala Unga Tz..pole sn kiongozi..
Hii Movie kwa Gwajima na Mbowe ilibuma..

Nikiangalia Coco Beach umenyang'anywa.. kwasasa umesomewa makosa ya Sare za JWTZ, Uhujumu uchumi, NK..Pole sn mwenyekiti wangu...

Ktk mazingira hayo kesi hizi zaweza kuwa na siasa au visasi ndani yake.
Nakuomba usitumie mawakili wasiyo na Majina Makubwa nchini, tumia Public figure Lawyers. Wanao zijua vzr Sheria za Tanzania na Mazingira ya kesi nchini. Siyo Wahindi au Wazungu bali T. Lissu na Peter Kibatala...hawa ni wa CHADEMA japo ww ni Diwani wa CCM. Uwakili ni biashara watakusaidia na utapona.

Mawakili wa serikali wamekimbia sn kesi za T. Lissu.. mf mzr ni hii ya juzi ya Arusha ya yule Mwanafunzi wa kesi ya uchochezi dhidi ya Kesi ya Godbless Lema.

Bwana Yusuph Manji, hela ni makaratasi. Hizi hela mpe T. Lissu akuokoe na hii kadhia ya ww kulala Hospitali bila kupenda.

Pili nikuombe Mwenyekiti wa Wafanyabiashara nchini bwana Reginald Mengi ambae pia ni mkurugenzi wa IPP media mmusaidieni mfanyabiashara mwenzenu.. Kamwe musimuache!! Muombeeni msamaha kwa bwana mkubwa kama alikosea mahala....miaka mingi imepita BABU SEYA yupo jela.
Toeni matamko makali kukemea tabia hii..msimbague kwa kuwa yy ni mtanzania mwenye asili ya Asia.

QUALITY GROUP imetoa ajira nyingi sn kwa watanzania; hawa wafanyakazi hulipa kodi (PAYE) na kampani hulipa Corporate Tax 30%. Hii kampuni ina faida kwa Tz na watanzania wote kuliko kisasi cha mtu mmoja kwa kampuni flani..

Simba japo mmetuvizia hapa ili mubebe ndoo msimu ujao kutokana na usajili mbovu.....ila msisahau kumuombea Mwenyekiti wetu...bwana Yusuph Manji..

KUSAMEHE NI JAMBO LA MHIMU SN KTK MAISHA YA MWANADAMU.

MUNGU ATUBARIKI WOTE.
Unauhakika paye ya wafanyakazi wake inaenda serikalini usiongee vitu usivyovijua kaa kimya kabisa.....
 
Tutapona kweli...kwa anaetubatiza kwa moto
 
Na humuua pia anayehisi mtu anatendewa kisasi kumbe la! Mathalani Malinzi, Rugemalira, Singasinga et all, wanafanyiwa visasi gani labda?!
Wacha ufala wako hata hiyo avatar hapo juu haikufai mbwaaa wewe
 
Pole sn Mwenyekiti ya Club yangu.. YANGA SPORTS CLUB.. na shareholder wa QUALITY GROUP.

Hii awamu ya Viwanda ina mambo mengi sn ya kufanya...ila imeachana nayo sasa imehamia ktk siasa za Visasi na kukushughulikia...

Naskia uliwahi kumkosea jamaa huko Nyuma. Kosa la kawaida. Pia wakati wa mchakato wa kupata mgombea CCM DODOMA huenda ww ulikuwa team B.. baada ya team yako kufeli huenda jamaa ameapa kukushughulikia na kukufilisi..pole kwa wakati huu mgumu kwako. Sisi sote tu wanadamu, na amini mateso yako yana mwisho!!

Umeshitakiwa kwa makosa ya Wafanyakazi wako (kuwa uli wa ajiri kinyume na sheria za nchi make wao siyo raia wa Tz na hawakuwa na vibali) , japo ww siyo mkurugenzi wa QUALITY GROUP uka ruka hili. Likaja kosa kuwa ww siyo Raia wa Tz...ukaruka na hili (NEC wana husika sana)...Mungu ana kupenda sn Mwenyekiti wa Young Africans Club ndio maana bado huna hatia.

Wala Unga, kila kitaa hapa Dar ni wengi sn, haina haja hata ya kuwapima...ukienda Stendi ya Ubungo unaweza Zoa wote.. wao wako uraiani wanapeta. TID, CHID BENZ wako uraiani wana peta... ila ww na Wema Sepetu tu ndio vinara wakubwa na wala Unga Tz..pole sn kiongozi..
Hii Movie kwa Gwajima na Mbowe ilibuma..

Nikiangalia Coco Beach umenyang'anywa.. kwasasa umesomewa makosa ya Sare za JWTZ, Uhujumu uchumi, NK..Pole sn mwenyekiti wangu...

Ktk mazingira hayo kesi hizi zaweza kuwa na siasa au visasi ndani yake.
Nakuomba usitumie mawakili wasiyo na Majina Makubwa nchini, tumia Public figure Lawyers. Wanao zijua vzr Sheria za Tanzania na Mazingira ya kesi nchini. Siyo Wahindi au Wazungu bali T. Lissu na Peter Kibatala...hawa ni wa CHADEMA japo ww ni Diwani wa CCM. Uwakili ni biashara watakusaidia na utapona.

Mawakili wa serikali wamekimbia sn kesi za T. Lissu.. mf mzr ni hii ya juzi ya Arusha ya yule Mwanafunzi wa kesi ya uchochezi dhidi ya Kesi ya Godbless Lema.

Bwana Yusuph Manji, hela ni makaratasi. Hizi hela mpe T. Lissu akuokoe na hii kadhia ya ww kulala Hospitali bila kupenda.

Pili nikuombe Mwenyekiti wa Wafanyabiashara nchini bwana Reginald Mengi ambae pia ni mkurugenzi wa IPP media mmusaidieni mfanyabiashara mwenzenu.. Kamwe musimuache!! Muombeeni msamaha kwa bwana mkubwa kama alikosea mahala....miaka mingi imepita BABU SEYA yupo jela.
Toeni matamko makali kukemea tabia hii..msimbague kwa kuwa yy ni mtanzania mwenye asili ya Asia.

QUALITY GROUP imetoa ajira nyingi sn kwa watanzania; hawa wafanyakazi hulipa kodi (PAYE) na kampani hulipa Corporate Tax 30%. Hii kampuni ina faida kwa Tz na watanzania wote kuliko kisasi cha mtu mmoja kwa kampuni flani..

Simba japo mmetuvizia hapa ili mubebe ndoo msimu ujao kutokana na usajili mbovu.....ila msisahau kumuombea Mwenyekiti wetu...bwana Yusuph Manji..

KUSAMEHE NI JAMBO LA MHIMU SN KTK MAISHA YA MWANADAMU.

MUNGU ATUBARIKI WOTE.
Umeanza vizuri ila umemaliza vibaya.
Simba haina maana bila uwepo wa yanga. Hadi sasa simba viongozi wake wako ndani kuanzia rais na makamu wake lakini usajili unaendelea. Mpira si ugomvi bali ni burudani hatupendi fitina zinazofanywa na wanasiasa kuvuruga michezo nchini.
Haki haipo hata kama mtu ana kosa basi apewe haki yake mapema.
Ninachukia anachofanyiwa Manji bila kujali usimba wangu kwani sasa inaonesha dhahiri malengo ni kumfilisi kabisa.
Simba tuna pita wakati mgumu kama nyie ambao malinzi wenu na manji wamebanwa pamoja. La msingi tuombe haki itendeke haijalishi maumivu yake.
 
Raisi hivi ndio anatoa hukumu au mahakama,?,pia navojua mahakama ni kama Bunge chombo kinachojitegemea
Tz hakuna taasisi iliyo imara kiasi cha kufanya kazi kuhuru. Bunge limeshikwa pamoja na mahakama jumlisha polisi na usalama wa ccm.
 
Umeanza vizuri ila umemaliza vibaya.
Simba haina maana bila uwepo wa yanga. Hadi sasa simba viongozi wake wako ndani kuanzia rais na makamu wake lakini usajili unaendelea. Mpira si ugomvi bali ni burudani hatupendi fitina zinazofanywa na wanasiasa kuvuruga michezo nchini.
Haki haipo hata kama mtu ana kosa basi apewe haki yake mapema.
Ninachukia anachofanyiwa Manji bila kujali usimba wangu kwani sasa inaonesha dhahiri malengo ni kumfilisi kabisa.
Simba tuna pita wakati mgumu kama nyie ambao malinzi wenu na manji wamebanwa pamoja. La msingi tuombe haki itendeke haijalishi maumivu yake.
Hapo kwenye Malinzi wenu...kuna ukakasi mkuu
 
Back
Top Bottom