Yusuf Manji bila T. Lissu huchomoi

Yusuf Manji bila T. Lissu huchomoi

Naona Tundu Antipas Lissu anajipigia upatu hapa apewe kesi...
 
Ni kweli Lissu ni jibu ya yote. Ndiye kaka wa Taifa na wakili bora Tanzania. Kesi ya Manji ni maji ya kunywa kwa Lissu. Kwanza Manji ni supplier wa mavazi ya JWTZ kwa mkataba halali. Haingii akilini kumkamata supplier akiwa na materials anazopaswa kusupply. Ni upumbavu wa hali ya juu.
 
Ndio maana nasema na nitasema tena huyu baba BASHITE anaongiza kwa VISASI UBAGUZI UDINI NA UKABILA mtu mbaya sana watanzania kuweni makini na huu upuuzi.


Swissme
Nonsense comments!
 
Ni kawaida ya Chadema kuwasafisha mafisadi
 
Mleta mada Mbowe kauza unga ushahidi tunao. Acha kukurupuka bila kuwa na ushahidi. Pia, Manji kwann amiliki sare za jeshi na mihuri? Yy ni serikali au anataka kupindua nchi kwa kupandikiza jeshi lake? Nchi ilioza mtu alikua Rais. Kanyaga twende Rais tutafika na wataelewa tu maana ya nchi.
 
Mleta mada Mbowe kauza unga ushahidi tunao. Acha kukurupuka bila kuwa na ushahidi. Pia, Manji kwann amiliki sare za jeshi na mihuri? Yy ni serikali au anataka kupindua nchi kwa kupandikiza jeshi lake? Nchi ilioza mtu alikua Rais. Kanyaga twende Rais tutafika na wataelewa tu maana ya nchi.
Sasa unasubiri nini kutoa huo ushahidi?nyie ndo huitwa wanafiki kule kwetu Korea!!
 
Daah, ndio maana yule Lord mayor wa Ilala akapotea kwenye medani za siasa ghafla
Kifua cha Mzee kimejaa makando kando sana [emoji29] [emoji29]
 
Acha kuchonganisha watu. Usimba na uyanga
umekujaje kwa kukutwa na vitambaa vya
sare za jeshi. Acha Sheria ichukue mkondo wake.
Hivyo vitambaa vya sare za jeshi na mihuri sio issue kwake maana yeye ni supplier, waishakosea hapo, napo ataruka. Watafute kosa lingine. Shida ya polisi wenu wanatengeneza kesi za kutumwa wakienda mahakamani wanashindwa kuzitetea ndiyo maana Manji anataka apelekwe mahakamani.
 
Mleta mada Mbowe kauza unga ushahidi tunao. Acha kukurupuka bila kuwa na ushahidi. Pia, Manji kwann amiliki sare za jeshi na mihuri? Yy ni serikali au anataka kupindua nchi kwa kupandikiza jeshi lake? Nchi ilioza mtu alikua Rais. Kanyaga twende Rais tutafika na wataelewa tu maana ya nchi.
Acheni mahaba niue kwenye ukweli. Supplier wa jeshi kukutwa na material ni kosa wakati ana mikataba halali? Hii kesi nayo anawapiga chini. Akifungua kesi ya madai ya fidia serikali ikishindwa wanalipa KIMYAKIMYA. Matumizi mabaya ya kodi za wananchi.
 
Usijal ndugu visasi huwa vinamuua yule aliyeweka na sio anayefanyiwa.
Muda n mwalimu mzuri

Na humuua pia anayehisi mtu anatendewa kisasi kumbe la! Mathalani Malinzi, Rugemalira, Singasinga et all, wanafanyiwa visasi gani labda?!
 
Pole sn Mwenyekiti ya Club yangu.. YANGA SPORTS CLUB.. na shareholder wa QUALITY GROUP.

Hii awamu ya Viwanda ina mambo mengi sn ya kufanya...ila imeachana nayo sasa imehamia ktk siasa za Visasi na kukushughulikia...

Naskia uliwahi kumkosea jamaa huko Nyuma. Kosa la kawaida. Pia wakati wa mchakato wa kupata mgombea CCM DODOMA huenda ww ulikuwa team B.. baada ya team yako kufeli huenda jamaa ameapa kukushughulikia na kukufilisi..pole kwa wakati huu mgumu kwako. Sisi sote tu wanadamu, na amini mateso yako yana mwisho!!

Umeshitakiwa kwa makosa ya Wafanyakazi wako (kuwa uli wa ajiri kinyume na sheria za nchi make wao siyo raia wa Tz na hawakuwa na vibali) , japo ww siyo mkurugenzi wa QUALITY GROUP uka ruka hili. Likaja kosa kuwa ww siyo Raia wa Tz...ukaruka na hili (NEC wana husika sana)...Mungu ana kupenda sn Mwenyekiti wa Young Africans Club ndio maana bado huna hatia.

Wala Unga, kila kitaa hapa Dar ni wengi sn, haina haja hata ya kuwapima...ukienda Stendi ya Ubungo unaweza Zoa wote.. wao wako uraiani wanapeta. TID, CHID BENZ wako uraiani wana peta... ila ww na Wema Sepetu tu ndio vinara wakubwa na wala Unga Tz..pole sn kiongozi..
Hii Movie kwa Gwajima na Mbowe ilibuma..

Nikiangalia Coco Beach umenyang'anywa.. kwasasa umesomewa makosa ya Sare za JWTZ, Uhujumu uchumi, NK..Pole sn mwenyekiti wangu...


Ktk mazingira hayo kesi hizi zaweza kuwa na siasa au visasi ndani yake.
Nakuomba usitumie mawakili wasiyo na Majina Makubwa nchini, tumia Public figure Lawyers. Wanao zijua vzr Sheria za Tanzania na Mazingira ya kesi nchini. Siyo Wahindi au Wazungu bali T. Lissu na Peter Kibatala...hawa ni wa CHADEMA japo ww ni Diwani wa CCM. Uwakili ni biashara watakusaidia na utapona.

Mawakili wa serikali wamekimbia sn kesi za T. Lissu.. mf mzr ni hii ya juzi ya Arusha ya yule Mwanafunzi wa kesi ya uchochezi dhidi ya Kesi ya Godbless Lema.

Bwana Yusuph Manji, hela ni makaratasi. Hizi hela mpe T. Lissu akuokoe na hii kadhia ya ww kulala Hospitali bila kupenda.

Pili nikuombe Mwenyekiti wa Wafanyabiashara nchini bwana Reginald Mengi ambae pia ni mkurugenzi wa IPP media mmusaidieni mfanyabiashara mwenzenu.. Kamwe musimuache!! Muombeeni msamaha kwa bwana mkubwa kama alikosea mahala....miaka mingi imepita BABU SEYA yupo jela.
Toeni matamko makali kukemea tabia hii..msimbague kwa kuwa yy ni mtanzania mwenye asili ya Asia.

QUALITY GROUP imetoa ajira nyingi sn kwa watanzania; hawa wafanyakazi hulipa kodi (PAYE) na kampani hulipa Corporate Tax 30%. Hii kampuni ina faida kwa Tz na watanzania wote kuliko kisasi cha mtu mmoja kwa kampuni flani..

Simba japo mmetuvizia hapa ili mubebe ndoo msimu ujao kutokana na usajili mbovu.....ila msisahau kumuombea Mwenyekiti wetu...bwana Yusuph Manji..

KUSAMEHE NI JAMBO LA MHIMU SN KTK MAISHA YA MWANADAMU.

MUNGU ATUBARIKI WOTE.
Kuna watu unaweza dhani wanatumia makalio kufikiri.

Ww wakwanza.
 
Hakuna cha kisasi wala nini, huyo ana TUHUMA ZA UHALIFU KAMA MTU MWINGINE YEYOTE, LAKINI NI MPAKA HAPO MAHAKAMA ITAKAPO PIMA KTK MIZANI, HIVYO TUSIBIRI TUONE
 
Back
Top Bottom