Raisi hivi ndio anatoa hukumu au mahakama,?,pia navojua mahakama ni kama Bunge chombo kinachojitegemea
Tanzania au wapi mkuu?
Raisi hivi ndio anatoa hukumu au mahakama,?,pia navojua mahakama ni kama Bunge chombo kinachojitegemea
Ukiacha uraisi wake wa tff malinzi ni yanga sasa huoni kuwekwa kwake ndani mwathirika mkubwa ni yanga kuliko simba?. Tuwe wakweli.Hapo kwenye Malinzi wenu...kuna ukakasi mkuu