Yussuf Manji, Omba Toba

Maswala ya pesa dinii hukaa pembenii...
Kama Bakwata walikua na njaa wakapokea pesa Manji analaumiwaje...
Nyinyi waumini ndio wakulaumiwa sababu Bakwata ndio mliowachagua kama viongozi wenu..

Matajiri hutafuta pesa sio kusoma vijarida vya wenyechuki na husda kama hicho hapo juu..
 
!
Yussuf Manji ni Muislam na aliwakosea Waislam na ni wajibu wetu kukumbushana.

Toba ni kwa yeyote.
Faiza hii imekaaje tusaidie kuelewa kidogo. Muislamu kawakosea waislamu wenzake, kisha anakuja "kafri" anamuadhibu na kumnyanyasa yule muislamu aliyewakosea waislamu wenzake na tena sio kwa yale makosa aliyowatendea waislamu wenzie bali kwa mengine tuu, tena yaweza kuwa hata hayapo. Na manyanyaso ayapatayo yaweza kuchangiwa na kuwa kwake mwislamu. Hapo unasemaje mtaalamu, kundi lile la waislamu waongofu watasimamia upande upi hapo?
Nipe shule FaizaFoxy !
 
Mambo ya kushitakiana kwa Mola yana madhara yake. Ni kweli ni busara kuhofia mashtaka kama haya kwa mkuu kama huyu. Hili ni kumkumbusha pia anayeshitakiwa na Mchungaji Gwajima ni heri kutubu mapema. Dua la kuku huwa halimpati mwewe lakini siku zinginewe mambo hugeuka na kuwa lukumba lukumba.
 
Hivi na ile Albadili alosomewa sheikh J Kikwete iliishia wapi?

Hii post ndo naona waswaha kama Faiza wanamkaanga ustaadh mwenzao Manji...nilizoea kukuta wanatetea hata Boko haram wanaoripua mpaka misikiti....
 
Safi sana mama...
 
Mwenyezi Mungu ndiye ajuwaye zaidi , sisi binadamu hatuna uhalali wa kuhukumu na pia kujuwa nani anahukumiwa na wakati gani anahukumiwa. Manji yupo kwenye matatizo cha msingi ni kumuombea Dua kwani ukweli wa matatizo yake Mola ndiye ajuwae zaidi.
 
Ataye unusuru uislam siyo lazima awe muislam!
Mafuriko yanapo kuja pia hayaangali yupi muislam yupi kafiri!
Allah ni mjuzi wa mambo yote!


 
Hazidishiwi mwenye kudhulumu isipokuwa hasara. Waislam walimshtakia Allah kudhulumiwa kwao na haya yanayompata Manji tunaita "irada".

Mwenye kudhulumu anasamehewa pale anapokiri kosa lake na kufanya toba.
mkuu unaelewa maana ya neno kudhurumu? ina maana manji aliwanyang’anya kinguvu hivyo viwanja au mlimuuzia nyie wenyewe
 

Hizo zote ni sababu tu, nisome tena post namba moja.
 
kama ilivyo uwakilishi wa wabunge bungeni wanawawakilisha wananchi wao jimboni ndio ilivyo kwa viongozi wa bakwata ambalo linawawakilisha waislamu hivyo kama bakwata ilifanya biashara na manji means waislamu wote mlihusika kwa hilo jambo hivyo hakuna haja ya kumlaumu manji bali mjilaumu wenyewe
Nawasilisha.
 
Ni safi zaidi kama ataadhibiwa na "Makafiri" hii itamkumbusha zaidi ajirudi na bado anayo chance ya kujirudi ajue rafiki na maadui wake ni nani, kosa alilofanya ni kubwa na waislam walimuonea huruma wakamsihi kwa ustaarabu, lakini hakutaka ndio maana inatakiwa aadhibiwe na asiekua na huruma.
 


Ndiyo maana tumemshtakia Mwenyezi Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…