Yussuf Manji, Omba Toba

Huyu Jamaa yupo kimyaaaa,watu wabaya sn wa hivi hawa.
Huwa wana revenge balaa
 
Mama! mission accomplished, yule aliingia Chadema kwa makubaliano kwamba yeye awe mgombea mwenza maana katiba isingeruhusu awe mgombea mwenza akiwa Cuf, sioni ubaya hapo.. Kwani msingi haswa wa kuuliza hivo ni nini?

Kajisome umeandika nini.
 
Ushauri mzuri sana kwake.
 
Kwani huyo yaya alimpiga huyo mtoto na hata akamuua?

Kama hiyo haijakuingia, pata hii:

Genesis 9:6 If anyone takes a human life, that person’s life will also be taken by human hands...
 

Qur'an 2:10. Nyoyoni mwao mna maradhi, na Mwenyezi Mungu amewazidishia maradhi. Basi watakuwa na adhabu chungu kwa sababu ya kusema kwao uwongo.Maelezo
 
Wacha porojo wewe.

Nikukwepe kwa lipi zaidi?


Sasa porojo gani tena mama....juzi hapa umejikana mwenyewe nikakupiga maswali ukakimbia jukwaa...ndo ukarudi na huu uzi wa kumlaumu Manji wakati kimsingi ukitakiwa uwalaumu viongozi wa Bakwata kwa kuuza Mali za waislamu na si Manji.
 
Nimeshangazwa na kauli ya FaizaFoxy kuhusu Ben Saanane. Huu ni uzandiki na upunguani wa mwendokasi. Kwani jukumu la kulinda raia ni la Mbowe au serikali???? This is insanity
 
I second you [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Sasa porojo gani tena mama....juzi hapa umejikana mwenyewe nikakupiga maswali ukakimbia jukwaa...ndo ukarudi na huu uzi wa kumlaumu Manji wakati kimsingi ukitakiwa uwalaumu viongozi wa Bakwata kwa kuuza Mali za waislamu na si Manji.


Thubutu.

Nilikupuuza tu, niliona huna jipya.

Mwizi na mnunuzi wa mali ya wizi wote ni wezi.

Hapa tunawakumbusha waombe toba tu. Au una akili za samaki na tayari umesahau hii mada ni yanini?
 
Hayo yanayomfika Nisiongelee tuwache Mahakama ifanye kazi yake, Mie kidogo napingana na hii issue ya viwanja vya WAKFU, Kwani Manji alichukua au kupora bila kuingia MKATABA na Waislam??? Bakwata aloingia nao mkataba ni kina nani? Je? Manji hakuwalipa hao BAKWATA, Mikataba militia ya kidhulma kwa kuangalia sharia ipi??? Nadhani hapo palifanyika MAKUBALIANO YA PANDE ZOTE 2 NA ZIKAJIRIDHISHA NA KWA VILE LILE ENEO LA WENGI WAKATOKEA WENGINE KWA MALALAMIKO kwa sabab moja au nyengine, kama kulikuwepoa MAKUBALIANO SIJAJUA KOSA LA MANJI NI LIPI? Wakulaumiwa ni hao Bakwata au hao Viongozi waloingia makubaliano, nadhani mitihani inayomfika Manji ni mitihani kama mitihani mingine kwa binaadamu na sio kwa sabab ya issue ya lile eneo, hizo albadiri zilizosomwa zingejibu kipindi kile kile na sio baada ya miaka 10 sijui 15..
 
Tatizo lililoko Tanzania ni kubwa sana. Kama Manji angekuwa hajawakosea Waislam hapa pasingekalika, ingekuwa ni udini kwa kwenda mbele.
 
Umeambiwaa kua aliwatumiaa watumishi wasio waaminifu
 
Kuna wakati tunamfanya Mungu ashindwe kutuelewa.

Mikataba Yussuf aliingia na BAKWATA, yet Yussuf pekee ndie atuhumiwa na kusomewa albadir.

Amakweli mwanadamu 'sio mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…