Yupo wapi Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Kayanza Pinda?

Yule ni mkulima saa hizi, analima na ku-export kweli kweli. anaishi kwa falsafa ya Kilimo kwanza
images
 
Huo udhaifu wake mmoja tu wa Kibinadamu hauondoi ukweli kwamba Yeye pamoja na Wenzake wa Kipindi hicho ndiyo walikuwa na Uweledi na Uzalendo wa kweli katika Utendaji wao wa Kinjagu na kusema kweli wameacha alama moja kubwa sana Idarani ambayo ilikuja kuharibiwa hasa kuanzia miaka ya 2005 hadi 2015 japo sasa hivi Idara inaanza tena kurejesha ule ule Ubora wake ambao Wahenga Sisi tuliobahatika kuwepo Kitambo hicho tuliona na kushuhudia.
pambaffff uimara gani idarani wakati kipindi cha 95-2005 ilikuwa kipindi cha wiz uliojificha na uliotukuka? sasa HIV idara IPO IPO tu full kuteka Na mahigambo huku bombardier zimepigwa pini. idara gani imeshindwa kumshauli mkulu ni full mikurupuko. makinikia, faru john, tetemeko kagera, kuzima tunings Na kutishia jf Na magazeti?? idarani ovyooo tu
 
Siku zote Watu waliopitia Unjagu wa Eagle Wing House Makao Makuu Oysterbay hata kama walikuwa na Vyeo vya Kitaifa nchini huwa hawana makeke na mashauzi. Katika zile cream bora kabisa zilizopikwa na Wakorea, Waisraeli, Wabulgaria na Waingereza Kinjagu MKPP ni mmoja wapo na kiukweli ametukuka na anaitendea haki kabisa Fani yake hiyo.
Bila shaka
 
Dr kipilimbi kumbe kaja na mikakati mipya
 
pambaffff uimara gani idarani wakati kipindi cha 95-2005 ilikuwa kipindi cha wiz uliojificha na uliotukuka? sasa HIV idara IPO IPO tu full kuteka Na mahigambo huku bombardier zimepigwa pini. idara gani imeshindwa kumshauli mkulu ni full mikurupuko. makinikia, faru john, tetemeko kagera, kuzima tunings Na kutishia jf Na magazeti?? idarani ovyooo tu

Ukizaliwa katika Koo zenye laana kama zako haya ndiyo matatizo yake hivyo sikulaumu sana.
 
Siku zote Watu waliopitia Unjagu wa Eagle Wing House Makao Makuu Oysterbay hata kama walikuwa na Vyeo vya Kitaifa nchini huwa hawana makeke na mashauzi. Katika zile cream bora kabisa zilizopikwa na Wakorea, Waisraeli, Wabulgaria na Waingereza Kinjagu MKPP ni mmoja wapo na kiukweli ametukuka na anaitendea haki kabisa Fani yake hiyo.
Hili ndiko jibu murua kabisa. Alipitia jando la kutosha kabisa na KUNYWA maji ya bendera. Ila yuko vizuri anafanya exports kadhaa za MAZAO na bora kabisa ni asali.
 
Back
Top Bottom