Yupo wapi Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Kayanza Pinda?

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,841
Reaction score
7,756
Habari wadau wa JF.

Niende kwenye mada hapo juu. Huyu mheshimiwa amepotea kabisa ktk siasa, japo najua ni mwenyekiti wa bodi ya chuo kikuu huria nchini lakini hata huko hasikiki kivile.

Waziri mkuu wetu huyu ambaye pia alitia nia Urais ndani ya CCM 2015 yupo wapi na anafanya nini kwa sasa?
 
Huyu mzee amestaafu kiukweli siasa na kama alivyosema mwenyewe yeye ni mtoto wa mkulima amerudi kwenye urithi wa baba yake, ni mkulima hasa analima maeneo ya zuzu huko Dodoma, ana shamba kubwa la mazao mbalimbali na pia ni mfugaji wa nyuki hahitaji kiki za kisiasa ndio maana hata kwenye majukwaa ya kisiasa au makongamano ni nadara sana kujitokeza
 
Yupo kijijini cha zuzu (alihitaji kukibadilisha kijiji hicho cha Zuzu jina japo sijaelewa alipofikia hadi sasa hivi na mchakato huo)

Ila yupo analima nyanya , pilipili, hoho, na bar100.

Mzee hakuwa mwanasiasa yule alisukumiziwa tu.
 
Haya mazao yana soko la kutosha mkoani Dodoma?
 
Huyu mzee amestaafu kiukweli siasa na kama alivyosema mwenyewe yeye ni mtoto wa mkulima amerudi kwenye urithi wa baba yake, ni mkulima hasa analima maeneo ya zuzu huko Dodoma, ana shamba kubwa la mazao mbalimbali na pia ni mfugaji wa nyuki hahitaji kiki za kisiasa ndio maana hata kwenye majukwaa ya kisiasa au makongamano ni nadara sana kujitokeza
Huenda anaona waliopo wanatosha.
 
Haya mazao yana soko la kutosha mkoani Dodoma?

Freed Freed ,
Mkuu,
Haswa haswaaa pia kumbuka yeye tayari ametengeneza brand name "PM , mtoto wa Mkulima" hivyo yeye atakuwa ni msambazaji mkuu na asiye na mpinzani kwenye hoteli , na familia za vigogo wanaohama kutoka sehemu mbalimbali kwenda Dodoma.

Hujiulizi kuwa "Kwa nini PM mtoto wa mkulima , asilime hayo mazao kule kijijini kwao huko Mpanda sijui Rukwa na badala yake kaenda kulima Dodoma hadi kutaka kubadilisha jina la kijiji na kukipa jina lake!?

Pia, unadhania ni kwa nini yupo kimya ?
Hataki kuwa kundi la wastaafu wanao washwawashwa ili Soko la mazao yake yasikatishwe pia hataki kuwekewa vikwazo vya eneo analolimia.

Any way, life is all about tricks.
 
Yupo kwao analima maembe ili mkono uende kinywani.
 
Freed Freed ,
Mkuu,
Haswa haswaaa pia kumbuka yeye tayari ametengeneza brand name "PM , mtoto wa Mkulima" hivyo yeye atakuwa ni msambazaji mkuu na asiye na mpinzani kwenye hoteli , na familia za vigogo wanaohama kutoka sehemu mbalimbali kwenda Dodoma.

Hujiulizi kuwa "Kwa nini PM mtoto wa mkulima , asilime hayo mazao kule kijijini kwao huko Mpanda sijui Rukwa na badala yake kaenda kulima Dodoma hadi kutaka kubadilisha jina la kijiji na kukipa jina lake!?

Pia, unadhania ni kwa nini yupo kimya ?
Hataki kuwa kundi la wastaafu wanao washwawashwa ili Soko la mazao yake yasikatishwe pia hataki kuwekewa vikwazo vya eneo analolimia.

An way, life is all about tricks.
Nmekuputa mkuu
 
Habari wadau wa JF.

Niende kwenye mada hapo juu. Huyu mheshimiwa amepotea kabisa ktk siasa, japo najua ni mwenyekiti wa bodi ya chuo kikuu huria nchini lakini hata huko hasikiki kivile.

Waziri mkuu wetu huyu ambaye pia alitia nia Urais ndani ya CCM 2015 yupo wapi na anafanya nini kwa sasa?
Ukiona kimya ujue HAWASHWI WASHWI
 
Yuko kwake anaisoma namba kimya kimya
 
Back
Top Bottom