Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 6,176
- 6,358
Ukileta vurugu utapigwa tuu.
Mzee wa watu hapendi kiki..
Alitangaza kustafu siasa na kweli amestafu na yuko anafanya shughuri zake
Dukani? Are you serious? Yaani Waziri mkuu mstaafu atafanya biashara ya duka?Leo nimemuona dukani kwake pale kilimani karibu na uzunguni Dodoma
Kwanini asifanye biashara ya duka...[emoji45]Dukani? Are you serious? Yaani Waziri mkuu mstaafu atafanya biashara ya duka?
Habari wadau wa JF.
Niende kwenye mada hapo juu. Huyu mheshimiwa amepotea kabisa ktk siasa, japo najua ni mwenyekiti wa bodi ya chuo kikuu huria nchini lakini hata huko hasikiki kivile.
Waziri mkuu wetu huyu ambaye pia alitia nia Urais ndani ya CCM 2015 yupo wapi na anafanya nini kwa sasa?
Mzee huyu wa kuigwa. Ukistaafu unatakiwa utulie na shghuli zako. Mzee wa watu alijiandaa yuko kwenye ranchi yake. Namenvy sana ila mie uwezo wa kuanzisha ranchi sina. Congrats Pinda. Yuko vizuri sana. Isitoshe aliomba msamaha kwa watanzania kama alitukosea. Nibadilisha mtizamo wangu kwa huyu mzee alipoomba msamaha. Ni muungwana sana.Habari wadau wa JF.
Niende kwenye mada hapo juu. Huyu mheshimiwa amepotea kabisa ktk siasa, japo najua ni mwenyekiti wa bodi ya chuo kikuu huria nchini lakini hata huko hasikiki kivile.
Waziri mkuu wetu huyu ambaye pia alitia nia Urais ndani ya CCM 2015 yupo wapi na anafanya nini kwa sasa?
wapigwe,Huyu mzee ni wa aina ya pekee,hajawahi hata kuhudhuria mualiko wowote. Wala maziko bora mumuache apumzike
Aah kumbe outlet ya products zake nilifikiri anaenda kulangua pipi na mafuta ya kupikia, Kama ni bidhaa zake swadakta, alafu anatakiwa aihudumie angalau Africa mashariki sio mitaa ya dodoma, Waziri mkuu mstaafu mshahara wake ni 80% ya wa majaliwa acha allowances sasa kufanya biashara za mia mia lazima asielewekeKwanini asifanye biashara ya duka...[emoji45]
Na pale dukani kwake anauza bidhaa kama Maziwa, Asali, mboga na kadhalika toka huko shambani kwake.
Kwa taarifa yako Mzee Pinda ndie msambazaji mkubwa wa hizo bidhaa katika eneo la kilimani, uzunguni nk
Nitamfikishia ushauri wako na jinsi unavyo taka wewe aendeshe miradi yake......Aah kumbe outlet ya products zake nilifikiri anaenda kulangua pipi na mafuta ya kupikia, Kama ni bidhaa zake swadakta, alafu anatakiwa aihudumie angalau Africa mashariki sio mitaa ya dodoma, Waziri mkuu mstaafu mshahara wake ni 80% ya wa majaliwa acha allowances sasa kufanya biashara za mia mia lazima asieleweke
Safi inapendeza sababu anazalisha ajira kwa vijana na kuleta kodi kwa serikaliNitamfikishia ushauri wako na jinsi unavyo taka wewe aendeshe miradi yake......
Lakini kwa ninavyo fahamu mimi ukiacha East Africa, Mzee Pinda ndie aliekua msafirishaji mkubwa wa asali toka tanzania to China (kwasasa sina hakika)
Yupo eneo la zuzu nje Dodoma kidogo , mazingira ya hapo kwake acha tu Yuko vizuri katika masuala ya ufugajiHabari wadau wa JF.
Niende kwenye mada hapo juu. Huyu mheshimiwa amepotea kabisa ktk siasa, japo najua ni mwenyekiti wa bodi ya chuo kikuu huria nchini lakini hata huko hasikiki kivile.
Waziri mkuu wetu huyu ambaye pia alitia nia Urais ndani ya CCM 2015 yupo wapi na anafanya nini kwa sasa?
Mzee walimpika vzr ila walishindwa kumfundisha namna ya ku control machozi yake,hata siku amekatwa pale Dodoma ni full kumwaga machozi tu hahah.Siku zote Watu waliopitia Unjagu wa Eagle Wing House Makao Makuu Oysterbay hata kama walikuwa na Vyeo vya Kitaifa nchini huwa hawana makeke na mashauzi. Katika zile cream bora kabisa zilizopikwa na Wakorea, Waisraeli, Wabulgaria na Waingereza Kinjagu MKPP ni mmoja wapo na kiukweli ametukuka na anaitendea haki kabisa Fani yake hiyo.
Mzee walimpika vzr ila walishindwa kumfundisha namna ya ku control machozi yake,hata siku amekatwa pale Dodoma ni full kumwaga machozi tu hahah.
Kwani soko ni Dodoma tu?Haya mazao yana soko la kutosha mkoani Dodoma?