Yupo wapi Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Kayanza Pinda?

Yupo wapi Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Kayanza Pinda?

Huo udhaifu wake mmoja tu wa Kibinadamu hauondoi ukweli kwamba Yeye pamoja na Wenzake wa Kipindi hicho ndiyo walikuwa na Uweledi na Uzalendo wa kweli katika Utendaji wao wa Kinjagu na kusema kweli wameacha alama moja kubwa sana Idarani ambayo ilikuja kuharibiwa hasa kuanzia miaka ya 2005 hadi 2015 japo sasa hivi Idara inaanza tena kurejesha ule ule Ubora wake ambao Wahenga Sisi tuliobahatika kuwepo Kitambo hicho tuliona na kushuhudia.
Idara miaka yote imekuwa na uweledi tatizo ni wanasiasa wenu
 
Katumia ustaarabu mkubwa wakusemakamanimewakosea nawaombeni mnisamehe huo ndiyo uungwana lakini kaulikama hiyo wala usiitegemee kwa huyu malaika pindi atakapostaafu
 
Nadhani sina hakika labda Kitendo cha kuvunjwa kwa jingo la Tanesco kimemudhi sana kiac ameamua kukaa kinya

Ufalme ni mapokezano, kila zama zina wenye.
Kila mtu ana mawazo na mtazamo wake, km aliona jengo tanesco mali sana wenzio wanafiri vingine kabisa.
Na hawezi zuia lisibomwolewe
 
Back
Top Bottom