Yupo wapi Wassira, yupo wapi Muhongo?

Yupo wapi Wassira, yupo wapi Muhongo?

Kwani kumuuliza Tyson wa taifa kuna ubaya gani?
Yaani bundle la bulaya ndivyo unavyolipoteza namna hii kwa mambo yssiyo na tija!
tapatalk_1582393996686.jpeg


In God we Trust
 
Ila muhongo ana pride ya hali ya juu sana. Wasingewezana na jiwe maana wote pride iko juu
Alipiga moja Mimi na mke wangu wote ni wasomi hatuna elimu ya ku unga unga! Alimwambiaga Ole sendeka vyeti vyangu.

Toyota HiLux Pickup haiwezi kuvifikisha! We hata cha darasa la Saba huna utanishauri nini! Mke wangu mwenyewe ni Mwana sayansi mbobezi!

Nikiwa Rais wa Tanzania itaweka record ya kuongozwa na Rais mwana sayansi na mke mwana sayansi!
Dunia inanitambua maana Nina ijuwa miamba ya Dunia nzima kasoro ya huko Mars ndio bado sijafanyia utafiti!!!
MUNGU AMPE KILA LA KHERI
 
ha ha ha, siasa bwana ni game ya ajabu, unaweza kupanda ghafla kisha ukashuka kwa kasi ya ajabu !!
 
Muhongo! Tanzania haina tajiri wa kumiliki kisima cha Gas au kuwa na share kwenye
Kampuni za Gas!
Niwashauri wafanyabishara wa Tanzania waendelea kuwekeza kwenye vinywaji baridi na maji!
Siwezi kuendelea kusemwa Nina jiuzulu Nina watoto ni wasomi na bado wana soma nisije kuwaharibia masomo yao kila siku wakisikia nina semwa kwa uwongo!
 
Enzi ya Jakaya ilikuwa na vituko vyake..Mulugo waziri wa Elimu asiyejua Jiografia.
Hilo ulikuwa kosa kubwa sana kwa Serikali ya JK. Ila naye huyu JPM amefanya makosa hayo hayo kwa kumpa Joyce Ndalichako uwaziri wa Elimu wakati hujui kiingereza. Elimu ya watoto wa Tanzania imetekwa mara na wasio na elimu
 
Back
Top Bottom