Yupo wapi Wassira, yupo wapi Muhongo?

Yupo wapi Wassira, yupo wapi Muhongo?

Wapo wengi kaka

1. Mwantumu Mahiza
2. Mulongo
3. Dr Naomi Katunzi
Wana jamvi nimejaribu kufuatilia wanasiasa wetu walio tamba sana kwenye awamu ya bwana Kikwete na kati yao ni meona tuwajadili hawa miamba.

Wasira alijitapa kuiangamiza cdm kabla ya mwaka 2014 tena kwa kiapo lkn leo hii cdm bado ipo na yeye mzee Tyson hasikiki tena. Pia mzee Muhongo bingwa wa dunia wa miamba aliye kuwa anajivunia kwa kiburi sana juu ya elimu yake hiyo lkn sasa kimyaaaaa. View attachment 1369187View attachment 1369188

In God we Trust

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo yupo mkwajuni chunya ni mfanya biashara

In God we Trust
 
Wana jamvi nimejaribu kufuatilia wanasiasa wetu walio tamba sana kwenye awamu ya bwana Kikwete na kati yao ni meona tuwajadili hawa miamba.

Wasira alijitapa kuiangamiza cdm kabla ya mwaka 2014 tena kwa kiapo lkn leo hii cdm bado ipo na yeye mzee Tyson hasikiki tena. Pia mzee Muhongo bingwa wa dunia wa miamba aliye kuwa anajivunia kwa kiburi sana juu ya elimu yake hiyo lkn sasa kimyaaaaa. View attachment 1369187View attachment 1369188

In God we Trust
Yaani bundle la bulaya ndivyo unavyolipoteza namna hii kwa mambo yssiyo na tija!
 
Dunia inaenda kasi sana...wengi wao cjui tumewapotezea wapi....ila mzee wa miamba kunakipindi nilickia amechaguliwa kuongoza jopo la wataalamu wa taaluma yake...ambayo makao makuu yapo kule ZERO brain kapigwa marufuku kutia nanga...sijui painta NUWU YOKI....

Mzee wa sana nzito basikia yupo..chijijini huko anacheza na ng'ombe..mbuzi na kuku..na kuzea udongo...

OVAAAA
 
Wana jamvi nimejaribu kufuatilia wanasiasa wetu walio tamba sana kwenye awamu ya bwana Kikwete na kati yao ni meona tuwajadili hawa miamba.

Wasira alijitapa kuiangamiza cdm kabla ya mwaka 2014 tena kwa kiapo lkn leo hii cdm bado ipo na yeye mzee Tyson hasikiki tena. Pia mzee Muhongo bingwa wa dunia wa miamba aliye kuwa anajivunia kwa kiburi sana juu ya elimu yake hiyo lkn sasa kimyaaaaa. View attachment 1369187View attachment 1369188

In God we Trust
Ni wakati wa steve nyerere, polepole na MAkonda
 
Mzee Wassira ni wa afya njema na anafanya utaratibu wa kurudi mjengoni ifikapo Oktoba, 2020.
Wakati wa Mwalimu, Wasirra yupo. Kaingia Mwinyi , Wassira yupo. Kaja Mkapa, Wassira yupo. Hata wakati wa Kikwete, Wassira yupo. Pia wakati wa kugombea kuteuliwa mgombea wa Uraisi kwa tiketi ya CCM mwaka 2015, Wassira alikuwepo. Jamani mwacheni Mzee wa watu apumzike kwa amani sasa.
 
Back
Top Bottom