Unanisingizia. Toka mzimu wa Dk uwatafune mimi nipo huru(sina chama)Wewe upo lumumba
In God we Trust
Pia ni smart kuliko jiweIla muhongo ana pride ya hali ya juu sana. Wasingewezana na jiwe maana wote pride iko juu
Ana ndoto za kumtoa mjukuuu wake bulaya bunda huyu mzee sijui alisahau nini bungeni,
mNdiyo tatizo letu waswahili yaani nimeuliza alafu nawewe unaniuliza badala ya kutoa jibu!
Ni. Mmoja wao huyu
In God we Trust
Ila muhongo ana pride ya hali ya juu sana. Wasingewezana na jiwe maana wote pride iko juu
Alipiga moja Mimi na mke wangu wote ni wasomi hatuna elimu ya ku unga unga! Alimwambiaga Ole sendeka vyeti vyangu.Ila muhongo ana pride ya hali ya juu sana. Wasingewezana na jiwe maana wote pride iko juu
Haamini kabisaaAna ndoto za kumtoa mjukuuu wake bulaya bunda huyu mzee sijui alisahau nini bungeni,
Mzee Wassira ni wa afya njema na anafanya utaratibu wa kurudi mjengoni ifikapo Oktoba, 2020.
Hapa unatuonesha nyumba iliyojengwa juu ya mwamba alioupasua?
Every man gotta right to decide his own destiny
So obviousPia ni smart kuliko jiwe
Muhongo type hawahitajiki kwenye utawala wangu.Tuwe wakweli, Muhongo ni mtendaji Boara kabisa kutokea, iliibadili Tanesco kwa muda mfupi na utendaji uliboreka sanaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba Mungu aniweke hai niwaone watakaotamba baada ya 2025Ni wakati wa steve nyerere, polepole na MAkonda
Hilo ulikuwa kosa kubwa sana kwa Serikali ya JK. Ila naye huyu JPM amefanya makosa hayo hayo kwa kumpa Joyce Ndalichako uwaziri wa Elimu wakati hujui kiingereza. Elimu ya watoto wa Tanzania imetekwa mara na wasio na elimuEnzi ya Jakaya ilikuwa na vituko vyake..Mulugo waziri wa Elimu asiyejua Jiografia.