Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,273
Wana jamvi nimejaribu kufuatilia wanasiasa wetu waliotamba sana kwenye awamu ya Rais Kikwete na kati yao nimeona tuwajadili hawa miamba.
Wasira alijitapa kuiangamiza CHADEMA kabla ya mwaka 2014 tena kwa kiapo lakini leo hii CHADEMA bado ipo na yeye Mzee Tyson hasikiki tena. Pia mzee Muhongo bingwa wa dunia wa miamba aliyekuwa anajivunia kwa kiburi sana juu ya elimu yake hiyo lakini sasa kimya
In God we Trust