Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,174
- 34,405
hahaha info za OS nitakupa bila shuruti
lakini paroko ndo roho yangu hiyo asije goma kukemea mapepo bure
Am watching you.
hahaha info za OS nitakupa bila shuruti
lakini paroko ndo roho yangu hiyo asije goma kukemea mapepo bure
Pale hapafai babe..halafu leo nitakuja na kina Heaven on Earth qn of sheba na wale niliokuja nao juzi..si unajua tena Easter... plzzz say yes dear...
Hahahahaaa... nimejaa tooop humu jukwaani Sema tu mishemishe za Pasaka bhana... haya nambie Leo nakukuta wapi nije tule vyuku?
Bora alionekana
jaman best ulipotelea wap ww?
nipo hapa leta habari
ulipotelea wap?
mihangaiko tu ya maisha
haya mwae maisha ni kuangaika komaa.
mwae ndo nini
mkuu na wewe unahangaikaga na maisha? si uyaache?mihangaiko tu ya maisha
jaman mwaya/mwae inamanisha rafk.
mkuu na wewe unahangaikaga na maisha? si uyaache?
poa poa
nashukuru kwa kunielewa ww ni mwanafunz mzur.
nakup....!!!!!