yupo wapi @TATIANA

yupo wapi @TATIANA

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,915
Reaction score
30,027
kuna member mwenzetu humu anaitwa TATIANA ameadimika sana maana alikua moja ya msaada sana katika kuclerify some of issues kokote alipo au kwenye jukwaa lolote kama yupo aje maana unaweza kuta anaumwa
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa... nimejaa tooop humu jukwaani Sema tu mishemishe za Pasaka bhana... haya nambie Leo nakukuta wapi nije tule vyuku?
 
njoo pale pale pa cku ile twitta pub au hukupapenda mlete na shostito Dinazarde
 
Last edited by a moderator:
Pale hapafai babe..halafu leo nitakuja na kina Heaven on Earth qn of sheba na wale niliokuja nao juzi..si unajua tena Easter... plzzz say yes dear...

mmmh wale wa juzi hapana aisee haswa kale kadada kembamba cjui ndo Karuccee maana anakunywa bacard mzinga mzima peke yake na halewi ila ile kampani yangu inasema ukija njoo na wawili ili tuwe sawa na wanywe vinywaji walivyozoea
 
Last edited by a moderator:
mmmh wale wa juzi hapana aisee haswa kale kadada kembamba cjui ndo Karuccee maana anakunywa bacard mzinga mzima peke yake na halewi ila ile kampani yangu inasema ukija njoo na wawili ili tuwe sawa na wanywe vinywaji walivyozoea

Kwa ubahili huu tucancel tu kwa Leo...tutakuja tukiwa hatuna hela Leo tunazo wacha tujilipue kivyetu
 
hahahahahq cc Karucee
 
Last edited by a moderator:
Wembamba wa nini? Aku mie.
mmmh wale wa juzi hapana aisee haswa kale kadada kembamba cjui ndo Karuccee maana anakunywa bacard mzinga mzima peke yake na halewi ila ile kampani yangu inasema ukija njoo na wawili ili tuwe sawa na wanywe vinywaji walivyozoea
No. Mumemchoka mapema kisa allowance za Easter.
Kwa ubahili huu tucancel tu kwa Leo...tutakuja tukiwa hatuna hela Leo tunazo wacha tujilipue kivyetu
Cha umbea hujambo?
hahahahahq cc Karucee
 
Last edited by a moderator:
Umeona eeeh!! Nitawanunulia wambea wenzangu wote helmet za matusiproof.

Hilo nalo neno shoga angu sema tu pasaka inapita hat hatujapata kimavi ili tukipe ma.tu.si.
 
Back
Top Bottom