Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,074
- 137,948
Siasa za kuuana za Magufuli kuna wengine waliona wamalizie uzee vizuri
Endelea kupuuza hivyohivyo,na mkiombwa michango na Lema mpuuze maana anawaibia na kutuma kwa familia yake huko Canada inayoishi peponi huku nyie mkoandamanishwa mabarabaraniNimeamua kukupuuza.
Sio baada ya chama kukodishwa 2015?Siasa za kuuana za Magufuli kuna wengine waliona wamalizie uzee vizuri
..Endelea kupuuza hivyohivyo,na mkiombwa michango na Lema mpuuze maana anawaibia na kutuma kwa familia yake huko Canada inayoishi peponi huku nyie mkoandamanishwa mabarabarani
Erythrocyte anajua sana mambo ya Komredi Makonda na anatupa updates zake mara kwa mara, lakini HAJUI CHOCHOTE cha aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa chama chake cha Chadema. Hii inasikitisha sana!Ni Mwanasheria Nguli saana. Mwanazuoni wa kupigiwa mfano. Mwanaharakati na mtunzi wa vitabu.
Ni Mwanasiasa mzuri na amewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Amepotea sana. Yuko wapi bingwa huyu?View attachment 2951156