Ha ha ha ha ha ha jamaa yangu sana huyu,Mkerewe wa Mwanza...huyu jamb anamwaga sumu kwa Wanafunzi huko Magu,jamaa ni Mwalimu wa History na GS...anamwaga sumu ni balaa kwa watoto,alikoswakoswa sana katika taflani ya Odwang Odor(?)
Kuna watu uharakati wao ulihamasishwa na mob psychology ya UDSM, nje ya UD! they are nothing!. Wako wapi kina Sikitiko Kapile , Emile Kivugo, kina Bazigiza baada ya UDSM?!.
P.
Ha ha ha ha ha ha jamaa yangu sana huyu,Mkerewe wa Mwanza...huyu jamb anamwaga sumu kwa Wanafunzi huko Magu,jamaa ni Mwalimu wa History na GS...anamwaga sumu ni balaa kwa watoto,alikoswakoswa sana katika taflani ya Odwang Odor(?)
Ha ha ha ha ha ha jamaa yangu sana huyu,Mkerewe wa Mwanza...huyu jamb anamwaga sumu kwa Wanafunzi huko Magu,jamaa ni Mwalimu wa History na GS...anamwaga sumu ni balaa kwa watoto,alikoswakoswa sana katika taflani ya Odwang Odor(?)
Japo simkumbuki Kaemba lakini Udsm ya 2006-2010 ilikuwa balaa tupu kila semista lazima mgomo na maandamano na kila mwaka chuo kufungwa... peoplez kama Mtatiro(PM), Deo Daud (rais), Odong, Bush, Dady Igogo, Owawa, Silinde, Aristotle, n.k ziliyumbisha utawala wa chuo na serikali. karibu kila mwanachuo alikuwa mwanaharakati naikumbuka Red guard ya Mtatiro nikiwa first year tulifanya makubwa ya kuwatia mboko students na malekchara wapinga migomo. katika uwepo wangu udsm chuo kilifungwa mara 2 sababu ya migomo tukarudishwa nyumban 2007 na 2008. saa hizi sijui matatizo yameisha chuoni au wanafunzi radicals ndo wameisha??
tangu naingia 2010 migomo ilikuwa mingi kupindukia lakini hawakuwahi kufunga mpaka nilivyomaliza mwaka jana
kumbe walikuwa wanatafuta pamanenti solution weeeeee
tuligoma mgomo wa elfu 10 ikaongezwa elfu 2500 ikawa elfu 7 katika ile elfu 5
sasa kakaja kamgomo kadogo tu kakugomea watu ambao hawakuwekewa bumu kwa kuwa hawaku update na board sitasahau kwenye maisha yangu nilikimbia kilometa nyingi sana mpaka external kutoka chuo kwani bibo hakukalika wala chuo watu walisombwa segerea mpaka naandika reply hii watu walifukuzwa chuo na mpaka leo hawajarudishwa ikiwemo viongozi
na hadi sasa hawajaweza kujiunga kwani walinyimwa mikopo hata kama wamesamehewa na chuo
wengine ndo wako first year
mgomo uliongozwa na alishababu na kijicho
revo skwea ikapigwa marufuku yaani dah mwaka wa mwisho tuliishi kwa uoga wakaweka mashushu
yaani mpaka mgomo utokee pale sijui
walioko third sasa kipindi hicho walikuwa mwaka wa kwanza