Daaa! kweli kabisa kiongozi .kikubwa Mungu yupo na anampa kila mtu haki yake..Albadir inamtafuna.....
Yeye ndiye "aliyesababisha" kifo cha Akwilina
Bila yeye kujiuzulu na kwenda kumuunga mkono Rais, Akwilina asingekufa
Usicheze na damu ya binti mdogo Akwilina, asiye na hatia aliyeuawa na Polisi siku ile ya tarehe 16/2/2018
Malipo hapahapa Duniani !!Mungu yupo japo haonekaniPesa ya walipa kodi, pesa za Umma iliyotumika kumnunua, kurudia uchaguzi, kuhujumu wana chadema, kuwapiga, kuwabambikia kesi, kuwakamata, kuua watu na kujeruhi wengi inawauma watanzania kwani wanalipa kodi kwa ajili ya maendeleo tu, si kwa ajili ya kuwahujumu Wapinzani kisha kurudia chaguzi kwa gharama kubwa na kuwapora ushindi washindi na kumsimika mshindi feki toka CCM. Laana toka kwa wapiga kura zote zinamwandama Mtulia kwani hawakumchagua kwenye sanduku la kura.
Hahahahahnasikia anatokwa na damu matak*ni, bleed sio bleed, yaan balaa tupu
Hii ni habar njema sana,What goes around comes around!nasikia anatokwa na damu matak*ni, bleed sio bleed, yaan balaa tupu
Saloum Mwalimu ndyo Mzenji!Kwahiyo Akwilina kumbe alikuwa mzanzibar
Sio mzenji peke yake jumlisha na m-romboNasikia mafundi wameshamtengeneza...
Chezea mzenji ww
MpembaSaloum Mwalimu ndyo Mzenji!
Umwombee wewe na Nani? Mwombee mwenyewe! Zaidi sisi tutamwomba Mola ampende zaidiTumuombee kama ni kweli, Mungu ni mwingi wa rehema na atamrehemu na kumsamehe kabisa
AmenUmwombee wewe na Nani? Mwombee mwenyewe! Zaidi sisi tutamwomba Mola ampende zaidi
Walishindwa kumsomea Mkapa kipindi kile amewafanya wakimbizi kule Mombasa.Kuna mtu anaitwa Kailima Ramadhani kuna wapemba wanasoma tu Kisomo chake.....
mfano kuntu mkuuNikupe mfano tu, ulishawahi kutumia kondom?? Tendo la ndoa ni tamu sana, lakini cha ajabu ukishakojolea hiyo kondom hata kuishika unaona kinyaa.
Used Mtulia kinondoni