Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,513
- 283,998
Mtulia ameshawajibu nyie waumini wa da' Mange.Moderator huu uzi ni kejeli kwa ndugu wa mgonjwa ambaye inasemekana hali yake ni mbaya na mipango ya haraka ya kumkimbiza India kwa gharama za Bunge inafanyika .
uzi huu ufutwe .
Johanesburg huijui wewe pretoria ni kama temeke au ilala johanesburg ni kama dar es.salaam ni sawa na kusema nimemuona mlimani city dare salaam akifanya shopping!!!!! Unashangaa nini? ,exposure ya kimataifa hunaJoberg ndio Pretoria?
Mkuu anapatikana wp huyo mzee tafadhali?Kuna mzee mmoja alikuwa akisema yeye ana uwezo wa kuleta dhahama kwa mtu yeyote mradi tu yule mtu amefanya dhulma ama uonevu.
Haya mambo inawezekana..Faru kazi wa bongeni,Hakimu mbabe wa kisutu,Mtulia...Hii inaweza kuwa dharura!
Acha ubabaishaji. Sisi tunazungumzia hali yake leo wewe unazungumzia mwezi wa nne. We vipi?Mtulia yupo bukheri hamsa wa ishirini musidanganyane bure hakuna cha halbadiri na mtulia atakula kiapo cha kuwa Mbunge tena tarehe 3/4/2018 saa tatu na dakika 15 fuatilia runinga siku hiyo mm sio shabiki wa mtulia lkn binadamu uwongo wengine hausidii chochote jamii yetu
Vipi raisi wa malaika kashindwa kumuombea?
Ni taarifa kutoka kwa jamaa yetu Miraji Kibonde ambaye anadai amekutana na mh Mtulia katika duka moja la viatu hapo jijini Pretoria. Miraji amesema walisalimiana kisha kila mtu akaendelea na uchaguzi wa ndopa. Niishie hapo!
Poa mkuu, nilidhani kwamba Pretoria na Joberg zipo ndani ya Gauteng? Ni sawa mwengine aseme kakukuta Manzese mwingine aseme Mbagala?Pretoria ni kitongoji kiko ndani ya Joburg mkuu. Ni sawa na mtu kusema kakukuta Kinondoni mwengine akasema kakukuta Dar.
Watu kwa uzushi bana!!!Haya asiyetakiwa kaja
Yafaa uende ukatathibitishe mwenyewe.Unaweza kuthibitisha hiki ulichokiandika hapa ?
Tabia hii itasaidia watu kuwa na tahadhari ya kuiamini mitandao ya kijamii.Watu kwa uzushi bana!!!
Bado hajawa mbunge mpk aapishwe so aezi tibiwa kwa hela ya bungeModerator huu uzi ni kejeli kwa ndugu wa mgonjwa ambaye inasemekana hali yake ni mbaya na mipango ya haraka ya kumkimbiza India kwa gharama za Bunge inafanyika .
uzi huu ufutwe .
Ya zaman hiiWatu kwa uzushi bana!!!
Kweli ya zamani sababu Mange Kimambi hajasema. Tarehe 21 April tutapata jibu.Ya zaman hii
Hii ya zamani. Unataka kuniambia aliwakusanya ccm wenzake kisha akatoa hiyo kauli saa ngapi?Watu kwa uzushi bana!!!
naona misukule ya lumumba mmekuj kuokoa jahazMimi mwenyewe nimemuona duka la Edgars hapa johanesburg akifanya manunuzi