Yuko kwao Rufiji...wamemficha ...sasa hivi mtulia siyo yule anayemjua sahiv analia peke yake mda mwingine wanamkuta anacheka peke yake ...kaenda kupewa matambiko kwao rufiji.Asalaam wote humu ndani,
Jamani huyu mbunge mteule ndugu Mtulia yupo wapi? Mbona tangua atangazwe mshindi hajaoneka? Mbona hajaapishwa?
Wenye taarifa zake mje hapa tafadhali.
Wewe kweli karai, ulitaka aapishiwe wapi?!Asalaam wote humu ndani,
Jamani huyu mbunge mteule ndugu Mtulia yupo wapi? Mbona tangua atangazwe mshindi hajaoneka? Mbona hajaapishwa?
Wenye taarifa zake mje hapa tafadhali.
Nikupe mfano tu, ulishawahi kutumia kondom?? Tendo la ndoa ni tamu sana, lakini cha ajabu ukishakojolea hiyo kondom hata kuishika unaona kinyaa.Asalaam wote humu ndani,
Jamani huyu mbunge mteule ndugu Mtulia yupo wapi? Mbona tangua atangazwe mshindi hajaoneka? Mbona hajaapishwa?
Wenye taarifa zake mje hapa tafadhali.
Kawa kichaa yuko rufijiNimepitwa na mengi..kafanyaje huyu bwana?
Mtulia yupo bukheri hamsa wa ishirini musidanganyane bure hakuna cha halbadiri na mtulia atakula kiapo cha kuwa Mbunge tena tarehe 3/4/2018 saa tatu na dakika 15 fuatilia runinga siku hiyo mm sio shabiki wa mtulia lkn binadamu uwongo wengine hausidii chochote jamii yetu
😀😀😀😀Yuko kwao Rufiji...wamemficha ...sasa hivi mtulia siyo yule anayemjua sahiv analia peke yake mda mwingine wanamkuta anacheka peke yake ...kaenda kupewa matambiko kwao rufiji.
Wanamwambia ananuka damuNimepitwa na mengi..kafanyaje huyu bwana?
Wewe kweli karai, ulitaka aapishiwe wapi?!
😀😀😀😀Nikupe mfano tu, ulishawahi kutumia kondom?? Tendo la ndoa ni tamu sana, lakini cha ajabu ukishakojolea hiyo kondom hata kuishika unaona kinyaa.
Used Mtulia kinondoni
Mkuu ataapishwa bunge lijalo la April,uwe mpoleAsalaam wote humu ndani,
Jamani huyu mbunge mteule ndugu Mtulia yupo wapi? Mbona tangua atangazwe mshindi hajaoneka? Mbona hajaapishwa?
Wenye taarifa zake mje hapa tafadhali.
Wanamwambia ananuka damu
Kumbe hizi habari ni za kweli. Nimezisikia leo kuwa jamaa kadata nikadhani masihara.Yuko kwao Rufiji...wamemficha ...sasa hivi mtulia siyo yule anayemjua sahiv analia peke yake mda mwingine wanamkuta anacheka peke yake ...kaenda kupewa matambiko kwao rufiji.