Yupo wapi Mponjoli Malakasuka?

Yupo wapi Mponjoli Malakasuka?

Hahaha hatari sana mkuu....Mponjoli rafiki yake Mr II.
Sugu alikuwa sangu naye
Sugu tukaja kumpokea hapo Indiana polisi block 41 akiwa na washkj zake cebby na Jerry
Miaka fulani Sugu nlipiga naye kazi BP boss wetu alikuwa mzee mtenga,hyo part time nkaondoka nkamuacha
All in all mpaka leo tunawasiliana
Ndy hivyo

Ova
 
Safi sana Don mrangi ,kitambo sana.
 
Mtoto wa mbeya city huyo yupo hukohuko mtoni bado
 
S
Sugu alikuwa sangu naye
Sugu tukaja kumpokea hapo Indiana polisi block 41 akiwa na washkj zake cebby na Jerry
Miaka fulani Sugu nlipiga naye kazi BP boss wetu alikuwa mzee mtenga,hyo part time nkaondoka nkamuacha
All in all mpaka leo tunawasiliana
Ndy hivyo

Ova
Sugu alisoma mbeya secondary sema walikuwa washkaji kitown Town pale greencity
 
Alikuwa mtu poa sana aisee na kweli alitoka jela akakaa UK. Ila naona amefungwa tena US.
Mponjoli huyu hapa kaingia over the weekend baada ya kumaliza kifungo chake huko USA;-
IMG-20260413-WA0026.jpg
 
Hii life samtaimu inataka uthubutu flani hivi wenyw akili ndani yake! 😁
 
Nmesoma naye hapo sema alinizidi kidato
Malakasuka namkumbuka
Alikuwa na uwezo uwezo hapo mbeya
In short, mponjoli namjuwa tunafahamiana
Ngj niishie hapa

Ova
Mtafute basi mbadilishane mawili matatu
 
Sugu alikuwa sangu naye
Sugu tukaja kumpokea hapo Indiana polisi block 41 akiwa na washkj zake cebby na Jerry
Miaka fulani Sugu nlipiga naye kazi BP boss wetu alikuwa mzee mtenga,hyo part time nkaondoka nkamuacha
All in all mpaka leo tunawasiliana
Ndy hivyo

Ova
Sugu hajasoma sangu kasoma mbeya secondary school
 
Back
Top Bottom