Yupo wapi Makongoro Nyerere kada wa CCM?

Kijana makongolo Kwa Toto's ni balaa haogopi Kufa akiwa Na uzito wa unyoya?
 
Lakini mimi nilimpongeza sana Makongoro kwa juhudi zake,pamoja na wenzake za kumshinda Lowassa,kwa sababu it was imperative kumshinda Lowassa in a fair fight,in the boxing ring,na CCM wamefanya hilo,which is good,sio kama haya madudu waliyofanya Zanzibar. Ilikuwepo temptation kumuondoa Lowassa kwa technicality,au kumuweka kizuizini. Lakini CCM ilifanya uamuzi mgumu;afasali kushindwa kuliko kuiba kura;uamuzi mgumu ambao ulifanya CCM igawanyike A na B.
 
Makongoro yupo hapa Msasani. Nimemuona sasa hivi anaelekea kwake ,unajua hii ni family compound,kwa hiyo yupo kule kwake,na kama ulivyosema hapendi kulala peke yake,naona yupo malaika mlinzi anafuata nyuma.
Broo unaandika kwa fasihi kali sana watoto waliosoma shule za kata hawakuelewi wanaishia kukuona umechanganyikiwa. Ni vyema ukalegeza kidogo.

Duc In Altum.
 
Makongoro yupo hapa Msasani. Nimemuona sasa hivi anaelekea kwake ,unajua hii ni family compound,kwa hiyo yupo kule kwake,na kama ulivyosema hapendi kulala peke yake,naona yupo malaika mlinzi anafuata nyuma.

Mh. Jaji anajua kuwa Malaika Mlinzi anamsindikiza mako?
 
Makongoro yupo hapa Msasani. Nimemuona sasa hivi anaelekea kwake ,unajua hii ni family compound,kwa hiyo yupo kule kwake,na kama ulivyosema hapendi kulala peke yake,naona yupo malaika mlinzi anafuata nyuma.
Hahahaa endrew nawe humpendi kaka yako
 
Makongoro yupo hapa Msasani. Nimemuona sasa hivi anaelekea kwake ,unajua hii ni family compound,kwa hiyo yupo kule kwake,na kama ulivyosema hapendi kulala peke yake,naona yupo malaika mlinzi anafuata nyuma.
Hahahaaaaaa malaika mlinzi tena .
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
acha fiksi wewe,mama maria nyerere alishawahi kuwa mtawala wa hii nchi hafi Rais Magufuli amfuate kwa ushauri. Tutajia manguli ambao washakuwa katika utawala wa kiserikali,mashirika ya umma na binafsi hapo sawa. Hii nchi bana sio kuongoza familia.
 
Makongoro yupo hapa Msasani. Nimemuona sasa hivi anaelekea kwake ,unajua hii ni family compound,kwa hiyo yupo kule kwake,na kama ulivyosema hapendi kulala peke yake,naona yupo malaika mlinzi anafuata nyuma.

Ila Andrew!!!!!!
 
Hii sasa umeiweka vizuri mno, kwa hakika umeitendea haki JF. Precisely from inner circle.
 
Unataka Makongoro naye pia aendeleze kale katabia kama ka Lowassa ka kujisemesha semesha kama vile kampeni hazijaisha.
 
yaani Magu achukue ushauri wa mama Nyerere hicho ni kiroja cha mwaka kwani huyu mama kaisha poteza kumbukumbu ukimuuliza mambo ya azimio la arusha anakujibu mapinduzi ya mwaka 1964,namuheshimu huyu mama lakini naamini mtu ukikua unarudi utoto mama hana kumbukumbu kabisa sasa atamshauri nini magu
 
Duh hujui anakula ile bil aliyoivuta wakati wa kampeni. Subiri iishe
 
Makongoro aliingizwa mkenge na JK! Lakini alizifaidi zile pesa angalau miezi 3 ile alikunywa na kula hela ya serikali! JK msanii hajawahi kutokea mwingine zaidi yake! Watia nia wote aliwapa moyo kuwa lazima wangefika mbali! Yaani JK acha kbs! Hata Wassira aliingia cha kike akajua sasa urais huu hapa! Akafie Ikulu! Hahaha daaa kuna watu na viatu humu duniani
 
bora umeweka wazi kua ccm ilishinda kwa haki. Asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…