Yupo wapi Makongoro Nyerere kada wa CCM?

Katibu mpya wa chama, subiri june
 
We nawe si uende amahoro utuachie mambo yetu?
 
Makongoro alinimaliza pale Dodoma alipomaliza kuhutubia kwenye kampeni akawaambia wakazi wa Dodoma anaomba atafutiwe wa kwenda kulala naye kwakua usiku akilala mwenyewe anaogopa!
Hawa watu wa Musoma ni wahuni sana ndiyo maana wanaoa wanawake wawil na kuendelea.Ni wapuuz sana
 
Makongoro alinimaliza pale Dodoma alipomaliza kuhutubia kwenye kampeni akawaambia wakazi wa Dodoma anaomba atafutiwe wa kwenda kulala naye kwakua usiku akilala mwenyewe anaogopa!
Hahahaaaaaaaaaaaaa
 
Hawa watu wa Musoma ni wahuni sana ndiyo maana wanaoa wanawake wawil na kuendelea.Ni wapuuz sana
Baadhi ya watu wa musoma nashindwa kuwaelewa kabisa . Wanapenda kuoa sana na kuacha .
 
Wakuu wa mikoa si tayari walishateuliwa mkuu? Au una maana mkuu wa Wilaya?!
Mako
Ni mbunge wa East Africa, uDC ni kitu kidogo sana hasa ukizingatia alikuwa kwenye status ya u president wa nchi.
 
Hawa watu wa Musoma ni wahuni sana ndiyo maana wanaoa wanawake wawil na kuendelea.Ni wapuuz sana
Hata waislam wanaoa mke zaidi ya mmoja, ila huyo Makongoro ana mke mmoja.
 
Andrew Nyerere huwa ananivunja mbavu sana na michango yake. Kwake, black anaita black. White anaita white. Hababaishi wala kumung'unya maneno. Bravo Uncle Andrew!!!!
Hahaaha huyu Andrew Nyerere ni shida japo kuna wakati nae anakuwa kama zinafyatuka
Hivi huyu ni kaka yako au jina tu kama lilivyo lile la Yeriko nyerere?
Ni kama yake kabisa kwasasa nadhani huyu ndio mtoto wa kiume mkubwa aliyebakia... So Makongoro anamuita Andrew kaka kabisa
 
Kuna mnyarwanda anakurupuka,yaaani kutupa vi ndama vitano ndo umekuwa juu,ndo aana jk aliwachukia
 
Hii ni jeuri ya vile vi ndama vyenu vitano,kaa kimya wewe
 
Hahaaha huyu Andrew Nyerere ni shida japo kuna wakati nae anakuwa kama zinafyatuka

Ni kama yake kabisa kwasasa nadhani huyu ndio mtoto wa kiume mkubwa aliyebakia... So Makongoro anamuita Andrew kaka kabisa
Basi Andrew ni mkweli sana na ana roho ya peke yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…