Yupo wapi Jasusi Apson Mwang'onda

Pale k'nyama sio!!?..ukiingia unanyooshaa,unakata kushoto then kulia then....
Kuna kale ka pub opozit na geti watu wanakula mavyakula na mabia mi sikaelewielewi Kwanini kako pale au ni kao yani kale já pub kana watoto bomba halafu mapaja yamejaa nilijimegea mmoja akawa ananiambia nichenji patern za Siri kutoka namba mpk za Kuchora nikamshtukia
 
Kile kimgahwa ni chao aisee na Kiki pale stratejikali haiwezekani katazamane na geti kuu ambalo vigogo wanaingia na kutoka bila wao kukaratibu

Halafu hivi nikitaka kuingia pale nikiulizwa nasema Naenda hospital nitasimamishwa mbona watu kibao Ingia toka Tena wengine na baiskeli
 
Kwani una kadi ya kuingia hapo hospital?
 
Kuna madem wazuri pale..japo wengine wabaya...labda alikua field
 
Wanaoingia aidha ni wana apolo au ndugu wa mwana apolo
 
Mh siku hizi mnavuana nguo tu hadharani,yaani taarifa za huko mkichokonolewa tu basi,mnamwagika kwl kazi ipo
 
Wanaoingia aidha ni wana apolo au ndugu wa mwana apolo
Kuna mabakabaka kama ya jw ila zenyewe zimepauka wako makini haoooooo

Halafu hivi ule ubalozi Kwanini uko pale nyuma ya igo wing hawa wageni wasikaribie moyo wa taifa bana
 
Mh siku hizi mnavuana nguo tu hadharani,yaani taarifa za huko mkichokonolewa tu basi,mnamwagika kwl kazi ipo

Hayo ndiyo madhara ya Kuajiri Watu Idarani kwakuwa tu walikuwa ' idle ' nyumbani huku wengine wakiishia tu Kubaka ' House girls ' wao na ' Kudokoa ' Nyama Jikoni matokeo yake wanakosa kabisa ' Maadili ' muhimu ya ' Usiri ' na ' Umakini ' ambayo ndiyo Kanuni Mama ya hiyo medani tukuka kiasi wanaishia Kuropoka / Kuzoza tu hovyo.
 
Aaaah mi nimechoka kwa kwl
 
Muulize ulimboka..!
 
Kuna mabakabaka kama ya jw ila zenyewe zimepauka wako makini haoooooo

Halafu hivi ule ubalozi Kwanini uko pale nyuma ya igo wing hawa wageni wasikaribie moyo wa taifa bana
Pale hamna kitu ndugu,kuna wakurugenzi na shughuli za kawaida tu..na hiyo hospitali
 
Hao wanaoropokaropoka mtaani ni wa kawaida tu..siri zipo na wabeba siri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…