Yupo wapi Innocent Sahani maarufu kama D Knob?

Amezeeka saivi. Namwonaga pale grand nolasko anafanya shoo mpaka za bia nne. Roho inaniumaga sana
Nafikiria makubwa,

Nataka kuacha ujuba,

Jinsi nilivyo watu wote wanashangaa,

Akili mali (mali)

Mwanzo mkali na mwisho mkali,

Mwanga njoo gizani upate discipline,

Dah hata sikumbuki kama ndiyo verse ziko hivyo hivyo ila kipindi hicho msanii yeyote ana chansi ya kusikika haijalishi anatokea kundi gani.

Hakuna stori za utimu.
 
Ilikuwa Bill's hyo kabla ya kuvunjwa,alienda siku ya kwanza Pastor kamwabia lazma mpate mafundisho kabla ya ndoa,hyo ndio ilifanya ndoa isifungwe kwa siku hyo hivyo akarudi na kuanza mafunzo na hapo ndipo mshua wake alipopewa taarifa akamwambia endelea na ulichokifikiria.
Innocent Sahani a.k.a Dirty Knob kufupisha muite D knob kutoka FDC (Free Dog's Camp)
Cc Pig Black,Ommy G(gangster)
 
Aisee
 
D Knob hajawahi kuwa FDC, ni mtoto wa kiwalani kama hao FDC ambao ni Pig Black, Ommy G na Nalenale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…