Yupo wapi "first lady"?

Yupo wapi "first lady"?

Huyu mama anaweza kuwa First Lady wa mfano. Kama ni sahihi niliwahi kusoma andiko moja kwamba kwamba hata pale shuleni alikua very simple but smart. Nadhani anachokikosa pale magogoni ni mradi wake wa kufuga kuku.
 
Kwani kuna ulazima wa kujionyesha au kubuni kitaasisi kisicho na tija zaidi ya kula hela za walipa kodi????????
 
Shida nn maisha ya MTU MKE wake vyann kujua kwani ulimpigia yy kura akuongoze au unataka nn
 
Miafrika ndivyo tulivyo


kabisa! Kamamifum ipo ya kulta maendeleo kwa nini isiimarishwe hiyo. endapo 1st lady atataka kujihuishbasi aanzishe poject ya kukikisha hamn mtot anaekaa chini Tanzania hii ndani ya miaka5.
 
Back
Top Bottom