Yupo wapi Enika yule dada mwenye sauti adimu?

Mkuu, naomba unielekeze jinsi ya kupost video JF

Natangulisha shukrani
sorry kwa kuchelewa kuiona hii post unachotakiwa kufanya ni kufungua hiyo video/picha kwenye page nyingine kisha unacopy url ya hiyo picha/video
copy-facebook-url.jpg

baada ya hapo unakuja sehemu ya kuandikia post huku jamiiforums unaandika unachotaka kisha utaona juu ya huu uwanja wa kuandikia post kuna setting mbali mbali
IMG_20160628_095747.jpg

kama hapo inavyooneka hapo juu kama url ulizocopy ni za picha unaenda kwenye setting ya picha kama ni url ya video unaenda kwenye setting ya video kisha unapast kwenye setting husika kama picha inavyoonekana...nimetumaini yangu nimeeleweka
 
sorry kwa kuchelewa kuiona hii post unachotakiwa kufanya ni kufungua hiyo video/picha kwenye page nyingine kisha unacopy url ya hiyo picha/video
copy-facebook-url.jpg

baada ya hapo unakuja sehemu ya kuandikia post huku jamiiforums unaandika unachotaka kisha utaona juu ya huu uwanja wa kuandikia post kuna setting mbali mbaliView attachment 360824

Ama kweli mwanaume kwa demu ni kama mfupa kwa fisi.
 
Nashukuru mkuu
 
Enika-na-Fred-Saganda.jpg

huyo hapo kulia amekaa anashusha mistari
VIP YALE MAMBO YETU YALEEEE...REHMA ZA ALLAHHH ANAZOOO?.... AU NDIO KANENEPA KAWA CHINENEEE KAMA FURUSHI LA TEJA MUOKOTA MAKOPO?.... KAMA VIP TUPIAMO KAPICHAAA.
BAADAE BAADAEE..NITAKUPIGIAAAA
 
Changanya Changanyaaaaaaaaaaaaa..........changanya changanyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Wimbo mzuri sana na hata Video yake Lulu ameshirikishwa
 
Mi natumia Tecno
Kama unatumia app ya JF au Tapatalk kuna sehemu hapo chini ya Ku-attach documents, pic,
Kama unataka kuweka video,unachotakiwa kufanya ni ku-copy URL kutoka katika source yako na kuipaste hapa,automatically video yako itaonekana
 
Duhhh game LA bongo flavour lina historia ndefu...mpeni tu credits zake jide maana kwa kuwa wapo waliokuwa na vipaji zaidi yake kama enika na wakapotea...

Wengine ni kama Renee lamira, stara Thomas , farida ,ray c , k Lynn , Jackie Marie etc....
 
Ngoma yake ya Baridi kama hii hadi leo hii naikubali sana.
Ile bit nadhani iligongwa na marehemu Roy.
tena Roy Alikuwa brother ake kabisa Enika,kuna ile nyingine ilikuwa inaitwa Nimekubamba,ilikuwa na m beat flan wa kibabe sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom