Jamani eeh, nimekuwa najiuliza hata sipati majibu, hivi wasanii maarufu waliowika miaka fulani ya nyuma hapo wako wapi?... kuna Crazy GK, sijamsikia , Misosi, Jumanne Iddi, Lady hanifa, K-Bazil kwa uchache tu...kuna wengine hapa walisikika sana na kuvuma kwa single fulani fulani, ila sijawasikia tena ... wa wapi hawa? kunani?

Umefuata nini huku mchungaji???Ni Kina nani hao?
Ni Kina nani hao?