Yupo wapi Crazy GK, K-Bazil

Kituku

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
238
24
Jamani eeh, nimekuwa najiuliza hata sipati majibu, hivi wasanii maarufu waliowika miaka fulani ya nyuma hapo wako wapi?... kuna Crazy GK, sijamsikia , Misosi, Jumanne Iddi, Lady hanifa, K-Bazil kwa uchache tu...kuna wengine hapa walisikika sana na kuvuma kwa single fulani fulani, ila sijawasikia tena ... wa wapi hawa? kunani?
 
LAST TIME gk ALIUWA NASOMA CHUO FLAN HIVI NA ALIMALIZA HOPE ATAKUWA KAENDA KUJIENDELEZA ZAIDI
 
mimi navyojua ni kuwa CRAZY GK yupo TUDARCO anasoma ila cjui anasomea fulcuty gan,na k basil atakuwa amefulia kimuzik
 
K-Bazil mara ya mwisho nilisikia ameokoka na kamrudia bwana! kaachana na anasa za dunia pamoja na kuacha kuimba.
 
misosi alikuwa kinara wa kusema wasanii wenzake kuwa watu wamewachoka, ajabu yy ss ndio kaangukia pua. Hii game bana.. Usipokuwa na upeo!
 
Jamani eeh, nimekuwa najiuliza hata sipati majibu, hivi wasanii maarufu waliowika miaka fulani ya nyuma hapo wako wapi?... kuna Crazy GK, sijamsikia , Misosi, Jumanne Iddi, Lady hanifa, K-Bazil kwa uchache tu...kuna wengine hapa walisikika sana na kuvuma kwa single fulani fulani, ila sijawasikia tena ... wa wapi hawa? kunani?

wamekufa
 
Ni Kina nani hao?
 
Kuna yule Chaz Baba ni Mlevi Mbwa... Duuuh!!! Feruzi baada ya Po po po po policeman na jiii... Duh...
 
K-Bazil siku hizi ameokoka na anasali Tanganyika Parkers (Ufufuo na Uzima). Jumapili iliyopita alifunga ndoa kanisani. Anaimba nyimbo za gospel siku hizi. Yaani kijana amebadilika na amekuwa mtumishi wa Mungu. Jina la Bwana libarikiwe. Amina
 
Jamani eeh, nimekuwa najiuliza hata sipati majibu, hivi wasanii maarufu waliowika miaka fulani ya nyuma hapo wako wapi?... kuna Crazy GK, sijamsikia , Misosi, Jumanne Iddi, Lady hanifa, K-Bazil kwa uchache tu...kuna wengine hapa walisikika sana na kuvuma kwa single fulani fulani, ila sijawasikia tena ... wa wapi hawa? kunani?

GK yumo humu ni mwanajamvi mwenzetu labda ungem-PM umuulize kulikoni.
Pia lazima uelewe kuwa muziki si lazima kupanda majukwaani inawezekana kabisa watajwa hapo juu wanajihusisha na muziki kwenye maeneo ya production, management, n.k
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom