Yupo wapi Bonta Maarifa?

Huyu Mwana HipHop alitamba sana na ngoma kama Matusi, Watu Buu, Nauza Kura Yangu.

Muda sana sijamsikia kwenye gemu kwa mwenye taarifa zake wadau au ameacha mziki?
Bonta Maarifa ni Katibu wa Afya Halmashauri ya Ushetu Wilaya ya Kahama, Mkoa wa Shinyanga.

Makazi yake ni Kahama Mjini maeneo ya Igomero (Masaki).


Majukumu ya Utumishi wa Umma pamoja na Mazingira nadhani ndio yanayomfanya apotee kwenye Game.
 
Huyu jamaa ni CO(Clinical officer) na sio MD kama watu wanavyodhani ama kujua,yupo Kahama hospital,mara ya mwisho nilimuona Mzumbe na baada ya kuulizia niliambiwa anafanya BHSM hapo Mzumbe,ni matumaini yangu alishamaliza na anasubiri teuzi tu
Baada ya kumaliza Mzumbe alihamishiwa Ushetu na kuwa Katibu wa Afya Halmashauri ya Ushetu.
 
Pia alifanya Master's of Health System Management palepale Mzumbe University, Lakini kikazi yupo Kahama Kama Katibu wa afya, ingawa wengi hawaijui hii title
Bonta hayupo Halmashauri ya Kahama, yupo Halmashauri ya Uahetu ambayo ipo ktk Wilaya ya Kahama.
 
Huyu jamaa ni CO(Clinical officer) na sio MD kama watu wanavyodhani ama kujua,yupo Kahama hospital,mara ya mwisho nilimuona Mzumbe na baada ya kuulizia niliambiwa anafanya BHSM hapo Mzumbe,ni matumaini yangu alishamaliza na anasubiri teuzi tu
Alishamaliza mzumbe, yupo wilaya ya ushetu kama katibu wa afya wa wilaya, ila kama unavyojua ushetu ilivyo karibu na kahama, so amaishi kahama j3 asubuhi anaenda ushetu ijumaa anarudi kahama.
 
anazungusha round za gambe,
anasifiwa na wapambe,
amesahau maisha ya dhiki kwa bibi yake Aikambe,
wanapata sana dhiki ndugu zake akina Chande..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom