Yupo wapi Benard Membe?

Yupo wapi Benard Membe?

Kwa rank aliyokuwa amefikia hakupaswa kuishi maisha ya uvunguni..kufanya hivyo inathibitisha kabisa nafasi alizopata kutumikia serikalini alizipata kwa bahati tu..hakupaswa,haiwezekani former foreign affairs minister kwa umri alionao,hawezi kuandika makala magazetini, hawezi kuandika hata kitabu, hana connection yoyote angalau apewe mihadhara ya kitaaluma pale inapotokea nk..he s a dead wood, ni tanzania tu hata mtu asiye na sifa za kuwa kiongozi anaweza kuwa kiongozi,ndio gharama za ignorance hizo!
Mkuu watu wengine hawafanyi kazi na media,yaani kila analofanya linatangazwa.
 
Habari wadau wa JF siasa.

Huyu Mheshimiwa aliwahi kuwa waziri ktk wizara mbalimbali humu nchini na alidhaniwa kumrithi Rais Kikwete ikiwa sio basi Lowassa angemrithi. Ktk uchaguzi baada ya kura kutotosha 2015 ndani ya CCM amepotea.

Yupo wapi Mheshimiwa huyu?

Bado atakuwa anazipangia ' mkakati ' maalum Pesa za aliyekuwa Rais wa Libya Marehemu Ghaddafi ambazo alimkabidhi Yule Balozi wa Libya nchini Tanzania aliyeuwawa ' Kimaajabu ' jijini Dar es Salaam mwaka 2015 huyu Yeye ( Membe ) akitakiwa kutoa / kumpa ushirikiano wake wote katika Kumlinda na pia Kuzilinda hizo ' Shekeli / Pesa '. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Membe Sio mtu wa kupagawa kwanza maadili yake ya kazi yamemfanya awe mtu tofauti na watu wengine.
Mzee wa chenji ya rada na Pesa za Gaddafi nini? Tuambizane ukweli tu! Mwanzoni aliwashwa washwa sana, lakini nadhani kuna sehemu alisaidiwa kujikuna ikabidi azibe mdomo.
 
Ukikimbizana sana na Ilani ya chama tawala kwenye maisha yako ya kazi ukistaafu huwezi kuwa na la kushauri au kuoa mihadhara. Ukijikakamua sana utaishia kudanganya watu wakati hauna authority labda uvuke sakafu unaweza pata maneno ya kuongea. Ndio maana ameona ni busara kukaa kimya.
 
Habari wadau wa JF siasa.

Huyu Mheshimiwa aliwahi kuwa waziri ktk wizara mbalimbali humu nchini na alidhaniwa kumrithi Rais Kikwete ikiwa sio basi Lowassa angemrithi. Ktk uchaguzi baada ya kura kutotosha 2015 ndani ya CCM amepotea.

Yupo wapi Mheshimiwa huyu?
Sijui alipo bali naona anafanya kitu cha busara sana, kukaa kimya na kumpisha Rais afanye kazi yake.

Anaweza kuwa anaridhika au haridhiki na kinachendelea lakini nchi inakuwa na Rais mmoja tu kwa wakati.

Mtakujashangaa atakavyokuja ibuka kisiasa hapo usoni (kama atapenda mwenyewe) na hatakuwa na mizigo ya kubeba kutokana na kauli kinzani kama akizitoa sasa.

A VERY SMART MAN.

Kuna watu wengine ndani na nje ya serikali wanaofuata nyayo za Mh. Membe. Sitawataja.

Hawa wote wanafuata usia wa wahenga unaosema:
If you have NOTHING NICE to say about someone, then don't say it.

Usipokuwa na JEMA la kusema kuhusu mtu, basi usiseme kitu.

Usia mwengine unasema:
Usiyavyunje MADARAJA kabla hujaimaliza safari yako
 
Kwa rank aliyokuwa amefikia hakupaswa kuishi maisha ya uvunguni..kufanya hivyo inathibitisha kabisa nafasi alizopata kutumikia serikalini alizipata kwa bahati tu..hakupaswa,haiwezekani former foreign affairs minister kwa umri alionao,hawezi kuandika makala magazetini, hawezi kuandika hata kitabu, hana connection yoyote angalau apewe mihadhara ya kitaaluma pale inapotokea nk..he s a dead wood, ni tanzania tu hata mtu asiye na sifa za kuwa kiongozi anaweza kuwa kiongozi,ndio gharama za ignorance hizo!
Unamchokonoa?
 
Huyo mtu yupo,nenda Masaki utamuona,he lives aquite life there.
Anajua wazee walichomfundisha,"WHEN IN DOUBT KEEP QUITE"-Kingunge Mwilu nilimsikia.
 
Natabiri ule utaratibu wa ccm wa rais aliyeko madarakani hapingwi katika kuwania awamu ya pili 2020 unaweza ukavunjwa!
 
Jasusi alietukuka
Jasusi kashindwa kutawala, anagugumia tu, nakumbuka hotuba yake bungeni akiwaaga wabunge na mabalozi wa tanzania waliokua ughaibuni, alidai, leo nahutubia kama waziri wa mambo ya Nje, bunge lijalo nitaingia na kuhutubia kivingine, akimaanisha atakua amiri jeshi mkuu, kumbe wapi!, alikua anategemea mbeleko ya Kikwete, alidundia pua, chezea nzee Nkapa wewe!
 
Kwa rank aliyokuwa amefikia hakupaswa kuishi maisha ya uvunguni..kufanya hivyo inathibitisha kabisa nafasi alizopata kutumikia serikalini alizipata kwa bahati tu..hakupaswa,haiwezekani former foreign affairs minister kwa umri alionao,hawezi kuandika makala magazetini, hawezi kuandika hata kitabu, hana connection yoyote angalau apewe mihadhara ya kitaaluma pale inapotokea nk..he s a dead wood, ni tanzania tu hata mtu asiye na sifa za kuwa kiongozi anaweza kuwa kiongozi,ndio gharama za ignorance hizo!
Mmh! ,makavu yalioiva
 
Membe ataibuka 2025. Usishangae hata 2020 akaingia kwenye kinyang'anyiro cha Ubunge ili awe karibu na jiko. Ila bila kwenda "kupiga goti" kwa malaika mkuu mtarajiwa, hatoboi maana jina litakatwa juu kwa juu kabla hata halijatua Chamwino.
 
Habari wadau wa JF siasa.

Huyu Mheshimiwa aliwahi kuwa waziri ktk wizara mbalimbali humu nchini na alidhaniwa kumrithi Rais Kikwete ikiwa sio basi Lowassa angemrithi. Ktk uchaguzi baada ya kura kutotosha 2015 ndani ya CCM amepotea.

Yupo wapi Mheshimiwa huyu?
Tupo nae huku lindi anakula hela za kustaafu uwaziri huku anawachora tu mnavyoburuzana na li nchi lenu
 
Mkuu watu wengine hawafanyi kazi na media,yaani kila analofanya linatangazwa.
Hutangazwi na media kwa sababu umeomba zikutangaze..media zinatangaza mchango wako kwenye jambo husika,haiwezekani utumikie nafasi aliyokuwa katika umri alionao ukakosa apetite ya kuendelea kutoa mchango wako katika maeneo mbali mbali hasa eneo alilokuwa anahudumu,si lazima iwe hapa tanzania, angalau ukanda wetu wa EAC au hata SADC..
 
Back
Top Bottom