Yupo wapi Benard Membe?

Yupo wapi Benard Membe?

Habari wadau wa JF siasa.

Huyu Mheshimiwa aliwahi kuwa waziri ktk wizara mbalimbali humu nchini na alidhaniwa kumrithi Rais Kikwete ikiwa sio basi Lowassa angemrithi. Ktk uchaguzi baada ya kura kutotosha 2015 ndani ya CCM amepotea.


Yupo wapi Mheshimiwa huyu?

Mkuu yuko nnje ya nchi, tufanya maandalizi makubwa ya kumpokea pale aiport
 
Nadhani yuko nchi moja ya SADC kama mshauri wa mambo ya kidiplomasia ajira alipata mwaka wa tatu sasa
 
Back
Top Bottom