Yupo wapi Benard Membe?

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,230
6,469
Habari wadau wa JF siasa.

Huyu Mheshimiwa aliwahi kuwa waziri ktk wizara mbalimbali humu nchini na alidhaniwa kumrithi Rais Kikwete ikiwa sio basi Lowassa angemrithi. Ktk uchaguzi baada ya kura kutotosha 2015 ndani ya CCM amepotea.

Yupo wapi Mheshimiwa huyu?
 
Kwani wewe ulitaka awe wapi ili aonekane yupo?
 
Membe Sio mtu wa kupagawa kwanza maadili yake ya kazi yamemfanya awe mtu tofauti na watu wengine.
 
Membe Sio mtu wa kupagawa kwanza maadili yake ya kazi yamemfanya awe mtu tofauti na watu wengine.
Kwa rank aliyokuwa amefikia hakupaswa kuishi maisha ya uvunguni..kufanya hivyo inathibitisha kabisa nafasi alizopata kutumikia serikalini alizipata kwa bahati tu..hakupaswa,haiwezekani former foreign affairs minister kwa umri alionao,hawezi kuandika makala magazetini, hawezi kuandika hata kitabu, hana connection yoyote angalau apewe mihadhara ya kitaaluma pale inapotokea nk..he s a dead wood, ni tanzania tu hata mtu asiye na sifa za kuwa kiongozi anaweza kuwa kiongozi,ndio gharama za ignorance hizo!
 
Back
Top Bottom