Yupo kwenye dozi, mambo flani kama kawa

Kichwa Ngumu

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,726
312
heshima
Wakuu ilikuwa kama kihoja kwangu coz ndio mara ya kwanza kutokea; nina rafiki yangu ambaye ameoa na kama tunaishi kama ndugu; hivi majuzi alikuwa anaumwa malaria na alipata dawa mseto, kwa kweli alikuwa amezidiwa kidogo ila baada ya kupata nafuu kidogo jamaa akaomba mechi toka wife wake, wife wake hakuwa tayari kutoa mzigo akiogopa aidha kumfanya azidiwe au hata kufa na hilo lilisabishwa ugomvi kati yao na ndipo wife wake aliponipigia na kunipa mkasa mzima na kunitaka ushauri kama ampe au asimpe na je kuna madhara yoyote. kwa bahati mbaya sikuwa na jibu sahihi kwake badala yake nikaamua kumpigia rafiki yangu (mume wake) na kumwomba aachane na mpango kwani hatujui madhara yake alikubali kwa shingo upande.
Wanajamii ni nini madhara ya kufanya mapenzi wakati unaumwa? nimewahi kusikia kama unakidonda alafu ukifanya mapenzi kabla hakija poana kitachelewa kupona je, hili linaukweli wowote
 
Watu hujiwekea restriction nyingi zisizo na msingi kuhusu ngono. Na hii imesababisha jamaa wengine watafute njia mbadala. Mwili hauwezi kusisimka kingono kama afya yako haiko timamu. Hivyo ukimwona mtu anaumwa na anaomba ngono ujue amepata nafuu na ana haki ya kupewa hilo tunda. Kwa upande mwingine kama watu wanatumia dozi na wanakwenda kazini tena kazi ngumu na ya saa nyingi kama ya kulima, kubeba mizigo, umachinga nk. kuna shida gani kwa ngono ambayo hufanyika mkiwa mumelala?
 
heshima
wakuu ilikuwa kama kihoja kwangu coz ndio mara ya kwanza kutokea; nina rafiki yangu ambaye ameoa na kama tunaishi kama ndugu; hivi majuzi alikuwa anaumwa malaria na alipata dawa mseto, kwa kweli alikuwa amezidiwa kidogo ila baada ya kupata nafuu kidogo jamaa akaomba mechi toka wife wake, wife wake hakuwa tayari kutoa mzigo akiogopa aidha kumfanya azidiwe au hata kufa na hilo lilisabishwa ugomvi kati yao na ndipo wife wake aliponipigia na kunipa mkasa mzima na kunitaka ushauri kama ampe au asimpe na je kuna madhara yoyote. Kwa bahati mbaya sikuwa na jibu sahihi kwake badala yake nikaamua kumpigia rafiki yangu (mume wake) na kumwomba aachane na mpango kwani hatujui madhara yake alikubali kwa shingo upande.
Wanajamii ni nini madhara ya kufanya mapenzi wakati unaumwa? Nimewahi kusikia kama unakidonda alafu ukifanya mapenzi kabla hakija poana kitachelewa kupona je, hili linaukweli wowote

subiri lulu awe huruatakupa maelezo kamili ya kula mzigo mtu akiumwa
 
ngoja niende super market kwanza nikachukue jack daniel n then ntakuja kuchangia!
 
Nafikiri ni suala la energy. Mwili unapopata maradhi unakusanya resources zake ikiwemo energy kupigana na maradhi. Askari wa vita wanatengenezwa kwa wingi na wanatakiwa wale pia. Zoezi la ngono linaweza kuwanyanganya baadhi ya resources wapiganaji na maradhi hivyo kupelekea kuchelewa kushinda, au kushindwa kabisa vita. Kama hajapona ana haraka ya nini?
 
Nafikiri ni suala la energy. Mwili unapopata maradhi unakusanya resources zake ikiwemo energy kupigana na maradhi. Askari wa vita wanatengenezwa kwa wingi na wanatakiwa wale pia. Zoezi la ngono linaweza kuwanyanganya baadhi ya resources wapiganaji na maradhi hivyo kupelekea kuchelewa kushinda, au kushindwa kabisa vita. Kama hajapona ana haraka ya nini?

exactly....
 
kwani huyu mwanamka alikuwa anakataa ye ndo mgonjwa? Si angempa tu zogo lote la kazi gani?
 
haina shida km alikuwa anahitaji kuhudumiwa, ingawa kusubiri afya ikae vizuri ni ushauri bora zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom