Yupi wa halali kuoa?

SALIMBOGA

New Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
2
Reaction score
0
Kijana mmoja alikuwa na msichana alivyokuwa kidato cha tano, yule msichana akahama shule, alivyofika form six akapata mwingine palepale shuleni, akamaliza akaenda kwao.

Wote wawili akiendelea kuwasiliana nao, nyumbani akapata mwingine, matokeo yakatoka akaenda chuoni akapata mwanamke mwingine huko pia. Siku moja akafikiria kuwa alikuwa anahitaji kuoa na wote wanne ana mawasiliano nao.

Je, atamuoa nani?
 
SALIMBOGA

kama wapo sawa ka sifa bora aoe hule wa kwanza
 
Last edited by a moderator:
Apime katik hao nani mwenye mvuto, busara uvumilivu, mwenye kujua maisha . Pia nan alie mpenda yeye sana
 
Wa mwisho ndo amuoe, coz hampendi huyo wa 1. angekua anampenda asinge tafuta wa pili na wa3
 
Kama ji muislamu aoe wote maana imeruhusu wake wanne, ila kama ni mkristu azingatie haya:

1: Tabia
2: Upendo
3: Akili ya maisha
4: Hofu ya Mungu
5: Mvuto ( Hii aina umuhinu sana)

Apo atapata wa kuoa.
 
Kuna mwanachuo mmoja alikuwa na mchumba alipokuwa form three, alipokwenda kusoma Advance akampata mchumba mwingine akamuahidi pia kuwa angemuoa, huko chuoni amepata tena mtu mwingine naye amemuahidi kuwa atamuoa.

Aliniomba ushauri kuwa amuoe nani sikuwa na jibu la haraka, yule wa form 3 anamsubiri, yule wa Advance anamsubiri na yule wa chuoni anamtaka amuoe. Yule wa form 3 ana mtoto wa huyu jamaa. Afanyeje?
 
Kama hajui la kufanya hata tukimshauri ni bure
 
Amuoe huyo aliyezaa nae!

Ila akienda kazini atapata mwingine kwa hyo list litaongezeka.
 
Kwa hiyo hadi sasa anawapenda wote ka wakati anatamka maneno hayo kwao?

Kama bado anatamani wote kuwaoa basi mwambie amuoe mwenye mtoto nae.
 
Ili tushauri vizuri ungetuambia imani yake, maana kwetu wachumba watatu mbona kawaida kabisa, unaweka ndani wote.
 
Amuoe alie zaa nae, asimletee mdada wa watu msongo wa mawazo bila sababu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…