Yupi utakaye muanza kumpa pesa hapa?

unaweza mpa paka maziwa lakini paka wa wenzetu wanakaula chakula kizuri kuliko maziwa yetu...
 
ntawapa wote bila kubagua kwani wote ni viumbe wa mungu
ila kale ka msemo kamfadhili mbuzi ipo siku utakula kisusio kuliko binadamu takatupilia mbali!
 
MziziMkavu kwani hela huwekwa kwenye kikombe!!!labda wanahitaji kimiminika fulani!!ila huyo binadamu simpi ameficha uso wake kwa nini!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…