Yupi ni mke bora kati ya hawa?

Yupi ni mke bora kati ya hawa?

KIXI

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2015
Posts
2,312
Reaction score
3,036
1. Mke anayekaa nyumbani: Huyu anajitolea muda wake wote kuhudumia familia, kulea watoto, na kuhakikisha nyumba iko sawa kila siku.

2. Mke mwajiriwa: Huyu anafanya kazi na anaingiza kipato cha kusaidia familia. Anaendelea na ndoto zake za kikazi lakini pia anajaribu kusawazisha kazi na maisha ya Familia.

3. Mke aliyeanzishiwa biashara: Huyu anapata uhuru wa kifedha huku akiwa na nafasi ya kujipangia muda wa familia.

Kwa maoni yako, yupi ni bora zaidi na kwa nini?
Naamini kila mmoja ana maoni yake,
 
Bora ni namba moja.
Hao mbili na tatu huwezi kuona faida ya ndoa hasa kama mwanaume upo vizuri kiuchumi.

Ila yote kwa yote ndoa haina faida kwa mwanaume.
 
Ndoa ina Faida na hasara pia
 
1. Mke anayekaa nyumbani: Huyu anajitolea muda wake wote kuhudumia familia, kulea watoto, na kuhakikisha nyumba iko sawa kila siku.

2. Mke mwajiriwa: Huyu anafanya kazi na anaingiza kipato cha kusaidia familia. Anaendelea na ndoto zake za kikazi lakini pia anajaribu kusawazisha kazi na maisha ya Familia.

3. Mke aliyeanzishiwa biashara: Huyu anapata uhuru wa kifedha huku akiwa na nafasi ya kujipangia muda wa familia.

Kwa maoni yako, yupi ni bora zaidi na kwa nini?
Naamini kila mmoja ana maoni yake,
Mwenye tako
 
Oa wote watatu..!! Fulu mifaida
 
Waote wazuri ila namba 1 unamuweka nyumbani unajiendeleza, yeye yupo vile vile siku ya siku unaanza kumnanga hajasoma inauma sana na nidhambi mpaka kwa MUNGU.
 
Back
Top Bottom