King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,150
- 98,576
Nyimamadogookumanga.
Kama ndo mambo yanayoongelewa na watanzania haya,basi maendeleo tutabaki kuyasikilizia kwa wakenya tu.
Hili ni jukwaa la mapenzi ambapo mada za mapenzi zinajadiliwa na kupatiwa ufumbuzi hivyo wale wanaotaka tujadili maendeleo ya nchi hapa sio mahali pake, nendeni kwenye jukwaa la siasa. Mimi sio daktari wa mapenzi bali ni mtaalamu wa mapenzi na kulingana na mimi, nguvu za kiume ni uwezo wa mwanaume katika kuusimamisha uume wake na kuweza kuhimili mikikimikiki ya mechi pasipo kuishia njiani hadi mwisho wa mechi kulingana na mapigo ya mwenzake yalivyo maana kuna wengine wana masafa marefu na wengine wana masafa mafupi. Naomba kuwasilisha.