Yupi anajua kuuchuna????

Yupi anajua kuuchuna????

STEIN

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2010
Posts
1,772
Reaction score
555
YUPI ANAJUA KUUCHUNA? Juha,Zoba na Zuzu.walikua wakibishana nani anaweze kuu chuna kuliko mwenzake wasikilize. . . . . JUHA: nilimpigia SIMU mke wangu akasema: haloooo!, Mie nikauchuna sikuongea mpaka fedha yote kwenye SIMU ikaisha. ZOBA: Niligonga mlango mkewangu akafungua hakuniambia karibu, sikuingia nikasimama mlangoni, Mpaka kesho yake nikageuza zangu kurudi kazini... ZUZU:Tangu nimuoe mke wangu hajawahi kuniita mpenzi, nimegoma kulala naye LEO ni mwaka wa sita NA mke wangu Ana watoto wawili Lakini Mpaka leo sijamuuliza watoto wale ni wa nani? Nimeuchuna tu. Je kati ya wote nani Anajua KUUCHUNA?
 
khaa hii nayo ni mahusiano,mapenzi na urafiki wa mazuzu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom