Na bado huyo mwalimu anasakwa kwa kufadhiri maandamano!Ambaye baba yake alipoteza maisha siku kama ya leo.
Ana umri wa kama miaka 4 hivi kwa sasa.
Ndugu zake hawajulikani.
Mama yake nae alifariki katika majambo haya haya na wala wote hawakuwa wahusika kwa namna yeyote ile.
Kila ninapopita kwenye kile ki ''short kati'' na kumuona roho yangu inaugua kwa uchungu mkuu.
Mwalimu aliyeamua kumsaidia ni wa shule ya chekechea.....maisha yake kama yetu tu.
Tunatamani kuchangia japo ya sabuni lakini kama mjuavyo hali si hali.
lakini bado nina imani ya kwamba .....
MUNGU NI MUNGU WA HAKI.
Mboni mnatonesha Vidonda?MUNGU NI MUNGU WA HAKI.
Mnatonesha Vidonda cha ajabu hakuna tume inayotaka Simulizi km hizi tume inataka kuwakamata na hao watoto iwaue kwa sababu ya mama yao kutoka mashine akiwa kabeba unga wa vitumbua na kuonekana km anaandamana maana yake hao watoto walimwambia mama yao akaandamane basi ndio waliofadhili hayo maandamano na wenyewe wakatwe vichwa, hio ni kwa mujibu wa tumeYule mama alie uwawa akiwa ana toka mashineni kusaga unga wa vitumbua watoto wake wana ishije sijui
dah n wapi mkuu?Ambaye baba yake alipoteza maisha siku kama ya leo.
Ana umri wa kama miaka 4 hivi kwa sasa.
Ndugu zake hawajulikani.
Mama yake nae alifariki katika majambo haya haya na wala wote hawakuwa wahusika kwa namna yeyote ile.
Kila ninapopita kwenye kile ki ''short kati'' na kumuona roho yangu inaugua kwa uchungu mkuu.
Mwalimu aliyeamua kumsaidia ni wa shule ya chekechea.....maisha yake kama yetu tu.
Tunatamani kuchangia japo ya sabuni lakini kama mjuavyo hali si hali.
lakini bado nina imani ya kwamba .....
MUNGU NI MUNGU WA HAKI.
Halafu eti anakuja mjinga mmoja anasema tusahau yaliyopita tusonge mbele..!Hii haitasahaulika KAMWE...
Na wahusika wapo wanapongezana.Yule mama alie uwawa akiwa ana toka mashineni kusaga unga wa vitumbua watoto wake wana ishije sijui