Emilio Mzena
JF-Expert Member
- Jul 13, 2023
- 262
- 619
Habari wakuu…
Lengo la uzi huu sio kumbananga mbunge kwa ulemavu wake. Lengo ni kuomba kufahamishwa namna ambavyo mbunge yule wa viti maalum kutokea Zanzibar ambaye ni kiziwi atakavyokuwa anashiriki mijadala bungeni na wabunge wenzake.
Maana leo nimeona clio akiapa, naona kabisa kuna tatizo sehemu, inaumiza.