Yule changu akaniletea noma!

Kweli ndege mjanja hunaswa kwenye tundu bovu. Bora uendelee kuwaogopa machangu vivyo hivyo hadi utakapowowa!!
 
Inaniuma sanaaaa! Leo patachimbikaaaa! ( Unless zile nguo za xmas ukatukopee woolworths! Hehhee, blackmailing timely!)

Itakuwa ngumu, mie mwenyewe utotoni nilivalishwa sulupwete liliofungwa na mkwiji na sikufa, halafu nyie mniendeshe, kamwambie lakini ujue utachezea makwenzi..........LOL
 
Nilishawowa kitambooo.............
Machangu wana akili kama nini.............

Pole kaka....Ngozi ya kwenye miguu ni ngumu kwa sababu inafanya kazi za suluba!! Hope hata wewe umeshakuwa mgumu!!

Ila sasa ...pamoja na uzee wangu, mbona hili tukio kama limetokea juzi juzi tu......

Nitarudi baadaye kidogo!!
 
Hiyo ilikuwa aibu ya mwaka indeed.....!!! Pole yake jamaa. Ila wengine walivyo utakuta anapumzika ili asahau ile fedheha ilompata kisha after sometime ataliendeleza..
 
Mtambuzi, je wewe ni mwandishi? Unaandika na kueleweka vizuri sana, sikuchoka kusoma stori ndefu na nilitamani iendelee
 
Kama umewowa, basi mtunze mkeo, achana na machangu, mwisho wake ni aibu na fedheha!!

Ukienda kwenye kiti kirefu mshike mkono mkeo, hawakusogelei hata kidogo!

Naona kaka umeamua kumpiga kijana shule.....

Mie bado sijakubali....Hivi kweli mwaka 2000, changu wa Mwananyamala alikuwa anadai 20000 (~$50)?????

Babu DC!!
 
Pole kaka....Ngozi ya kwenye miguu ni ngumu kwa sababu inafanya kazi za suluba!! Hope hata wewe umeshakuwa mgumu!!

Ila sasa ...pamoja na uzee wangu, mbona hili tukio kama limetokea juzi juzi tu......

Nitarudi baadaye kidogo!!

Wewe unazeeka vibaya, hivi hujui miaka kumi iliyopita ni MUONGO mmoja! na hilo tukio halinihusu mie bana............
 
Kama umewowa, basi mtunze mkeo, achana na machangu, mwisho wake ni aibu na fedheha!!

Ukienda kwenye kiti kirefu mshike mkono mkeo, hawakusogelei hata kidogo!

Ni ushauri mzuri.............Ngoja nikamwambie huyo rafiki yangu aliyepatwa na huo mkasa.............LOL
 
Mtambuzi, je wewe ni mwandishi? Unaandika na kueleweka vizuri sana, sikuchoka kusoma stori ndefu na nilitamani iendelee

NImejifunzia humu humu JF na kwenye senema za akina Kanumba.....................LOL
Kwa taaluma mimi ni Fundi Mchundo
 
Kaka hii stori ni fundisho tosha kwa maisha ya siku hizi. Stori hii kama ungekuwa majuu na kuifanya kuwa movie,nafikiri usingekosa pesa kiasi ya kujikimu!
 
Naona kaka umeamua kumpiga kijana shule.....

Mie bado sijakubali....Hivi kweli mwaka 2000, changu wa Mwananyamala alikuwa anadai 20000 (~$50)?????

Babu DC!!

Hivi nimesema mwananyamala au Kinondoni..............! Ok tuseme Mwananyamala, kwa hiyo wao hawajui fedha.... au!? Hebu ngoja nuimuulize huyo rafiki yangu aliyepatwa na huu mkasa aseme kipindi hicho bei ya changu wa Mwananymala na Temeke ilitofautiana kwa kiasi gani, kisha nitakuja kuwajibu
 
Naona kaka umeamua kumpiga kijana shule.....

Mie bado sijakubali....Hivi kweli mwaka 2000, changu wa Mwananyamala alikuwa anadai 20000 (~$50)?????

Babu DC!!

Mkuu kama una mashaka na "rate" ya changudoa wa mwananyamala miaka kumi iliyopita, tutaomba uthibitisho toka kwako, kwamba kwa uzoefu wako ilikuwa ni bei gani! lol
 
Mkuu kama una mashaka na "rate" ya changudoa wa mwananyamala miaka kumi iliyopita, tutaomba uthibitisho toka kwako, kwamba kwa uzoefu wako ilikuwa ni bei gani! lol

Duuuuuuhhhh,

Kaka unataka kumfanya shahidi mtuhumiwa??

Sijui ila kama 2000 walikuwa wanadai 20000, leo sitakuwa wanadai laki 2.....Na hiyo biashara itakuwa bado ipo??

Babu DC!!
 
Kwa experience ya rafiki zangu, miaka ya 2000 machangu wa Mwananyamala walikuwa wanaadai sh.500 za Tanzania. Haikuwa hiyo
 
Back
Top Bottom